Waziri wa Michezo unatuangusha wanasoka, kuwa mjanja

Waziri wa Michezo unatuangusha wanasoka, kuwa mjanja

Tambua kuwa miongoni mwa wajumbe wa bodi wa upande wa Mo Dewji wapo waswahili kama mimi na wewe.

Mo Dewji anayo nia njema sana na Simba pamoja na mafanikio yake, angekuwa haifai Simba asingekubali kumlipa Benchikha mshahara wa shilingi milioni 70 kwa mwezi.

Cha muhimu ni kocha mpya kuachiwa uwanja wa kufanya kazi na kuwa na maamuzi ya mwisho kwa wachezaj na timu kwa ujumla. Masuala ya baadhi ya viongozi kupenyeza vimemo kwa kocha nina uhakika watamkera mapema sana huyu mualgeria iwapo wataanza tena huo upumbavu wao.

Pia Simba tuache kuabudu mastaa kina Chama, tutafute wachezaji vijana wenye uwezo ambao watakaa kwa misimu mingi kuliko kutegemea ageing squard tuliyonayo msimu huu.
Mambo ya nia njema katika biashara ni uswali tu,
Mo ananufaika sana kibiashara na Simba ila hakuna uthibitisho wala uwazi jinsi gani Simba inanufaika na uwekezaji wa Mo au kama inanufaika inavyostahili kwa kiwango stahiki.
 
Anamilki asilimia 49 tu ya hisa, hizo 51 ni zetu waswahili. Sisi pia ni wamiliki wa team, je tunafanya nini katika kuboresha uwezo wa kikosi kuliko kumuachia kila kitu yeye na kuishia kumlaumu tu?.
 
Back
Top Bottom