Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
 
Ni jambo la kawaida kabisa, Yeye ni waziri na si kocha kuwafahamu wachezaji zaidi ya 100 wenye uraia wa Ivory coast walio tawanyika Africa, Ulaya, Asia n.k lingekua jambo la kushangaza.

Izo Nchi zilizo endelea ki soka Zina mamia ya wachezji wanao tamba sehemu mbali mbali duniani, Sio kama Tanzania tunatafuta na wapo wachache Sana Tena wengi ni wa kawaida.
 
Nakazia🫡
 
Ni jambo la kawaida kabisa, Yeye ni waziri na si kocha kuwafahamu wachezaji zaidi ya 100 wenye uraia wa Ivory coast walio tawanyika Africa, Ulaya, Asia n.k lingekua jambo la kushangaza...
Sasa uliona ile clip ya yule journalist?

Journalist alikuwa anasema umati mkubwa wa mashabiki wa Ivory Coast waliokuwa wanaleta vurugu baada ya kutofuzu walionekana kumlaumu kocha kwanini hakumuita Pacome.
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndio nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source:
Bwigane Tv
Aliona ni swali la kipumbavu, unamuuliza Waziri kwani yeye ni Kocha? Alidhani ni bongo! Wachezaji wanapangwa kutokana na utashi WA Viongozi
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
Waandishi wa habari wa Tz mna maswali ya kipopoma! Hilo nalo ki swali sasa la kumwuliza waziri? Bila aibu eti na wewe umajisifia!
 
IMG_5272.jpg

Mleta mada-fvck
 
Hebu muulizeni Mkuu Ndumbaro kama Nzagambaa kama anamjua,maana hapa Slovenia league nakiwasha hatariiiii🤣🔥
 
Back
Top Bottom