Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Kuna ujinga mwingine ni wa kuuficha ..km huu wa mleta mada
JamiiForums1381953234.jpg

Mleta mada hakusoma hii ingemsaidia
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
Halafu ndio mnategemea kuinua soka lenu la TZ. Waziri mzima anauliza swali la kijinga namna hiyo?
 
Ushabiki maandazi unatuzidi, chochote cha yanga unataka kuponda tu.

Mie ushabiki huo sina kwa kweli, ni mpenzi wa simba lakini pacome ni mchezaji mzuri, siwezi kukosa adabu kiasi hiki, waziri wa michezo akisema hamjui samatta sote tutamshangaa ila akisema hamjui abdallah khamis, hatuwezi shangaa
Kuna sehemu nimesema Pacome ni mchezaji mbaya?
 
Mie situmii mshahara bwege wewe kama unakutana na investors tukutane TIC j3 au j3 pale DSE tuongee biashara..mbumbumbu wahed wewe ...
Sioni cha kuzungumza na mtu mweusi mwenye akili ndogo kama yako,usiyejua Simba sc ndio timu bora na kubwa na namba 1 Tanzania Africa mashariki na kati na namba 7 Africa,na ndio timu pekee inayowania kucheza world cup..sana sana utaniletea uchawi
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
Huku anangarishwa na uchawi wa timu.. so sio jambo la kushangaza
 
Back
Top Bottom