Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Itakuwa huyo waziri wa michezo kateuliwa leo ndo maana hamjui Pacome 😂😂Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.
Inawezekana kweli hamjui.Itakuwa huyo waziri wa michezo kateuliwa leo ndo maana hamjui Pacome 😂😂
🤣🤣Itakuwa huyo waziri wa michezo kateuliwa leo ndo maana hamjui Pacome 😂😂
Nakazia🫡Ni jambo la kawaida kabisa, Yeye ni waziri na si kocha kuwafahamu wachezaji zaidi ya 100 wenye uraia wa Ivory coast walio tawanyika Africa, Ulaya, Asia n.k lingekua jambo la kushangaza.
Izo Nchi zilizo endelea ki soka Zina mamia ya wachezji wanao tamba sehemu mbali mbali duniani, Sio kama Tanzania tunatafuta na wapo wachache Sana Tena wengi ni wa kawaida.
Sasa uliona ile clip ya yule journalist?Ni jambo la kawaida kabisa, Yeye ni waziri na si kocha kuwafahamu wachezaji zaidi ya 100 wenye uraia wa Ivory coast walio tawanyika Africa, Ulaya, Asia n.k lingekua jambo la kushangaza...
Ajabu ni mleta mada kuona hiyo ni ajabuHata huyo Ndumbaro hawajui wachezaji wote wa Tanzania, hakuna la ajabu hapo.
Aliona ni swali la kipumbavu, unamuuliza Waziri kwani yeye ni Kocha? Alidhani ni bongo! Wachezaji wanapangwa kutokana na utashi WA Viongozi“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndio nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.
Source:
Bwigane Tv
Sasa mleta mada yeye alitaka apate maoni negative...hahahahahahaSi ajabu kwa waziri kutokumjua pacome, angesema kocha hapo ningesema sawa.
Muulize swali na mleta mada wote maandaaziAliona ni swali la kipumbavu, unamuuliza Waziri kwani yeye ni Kocha? Alidhani ni bongo! Wachezaji wanapangwa kutokana na utashi WA Viongozi
Viazi vitamu KabisaMuulizq swali na mleta mada wote maandaazi
Aseme mimi ni mchezaji wa tomu gani hapa Tanzania?Hata huyo Ndumbaro hawajui wachezaji wote wa Tanzania, hakuna la ajabu hapo.
Kuna ujinga mwingine ni wa kuuficha ..km huu wa mleta madaViazi vitamu Kabisa
Waandishi wa habari wa Tz mna maswali ya kipopoma! Hilo nalo ki swali sasa la kumwuliza waziri? Bila aibu eti na wewe umajisifia!“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.
Source: Bwigane Tv