Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

Hii Bagamoyo road upanuaji wote mi naona ovyo tu barabara hazieleweki yani imekamilika ina mawimbi ovyo ovyo tu
 
Wana jf,

Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie.

Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
Huyo waziri fani imo kwenye damu kama alivyokuwa Maguu!!!!?

Kitu kisipokuwa damuni inakuwa bora liende, namkumbuka Shukuru Kawambwa barabara zilimshinda na elimu ndiyo kabisaaaaaaa!!!!
 
Hii Bagamoyo road upanuaji wote mi naona ovyo tu barabara hazieleweki yani imekamilika ina mawimbi ovyo ovyo tu
Yaani Jana nimerushwa rushwa kama nipo laf-road sijui Hawa mainginia Ni wa wapi
 
Kweli aisee..waende wakague barabara ya ovyo sana
 
Hapo wananchi wasipopaza sauti ndo bas tena imeisha hiyo
 
Huyo waziri fani imo kwenye damu kama alivyokuwa Maguu!!!!?

Kitu kisipokuwa damuni inakuwa bora liende, namkumbuka Shukuru Kawambwa barabara zilimshinda na elimu ndiyo kabisaaaaaaa!!!!
Kwani Magufuli alikua na fani hiyo?,Magufuli mwalimu wa kemia sasa Mwalimu wa kemia na uhandisi wapi na wapi?

Mara nyingi kwenye wizara,watendaji kama makatibu wa wizara ndio hua wenye fani kulingana na wizara husika.
 
... ingekuwa China; barabara za Bagamoyo, Masana - Mbezi na Mbezi - Kinyerezi watu walitakiwa wale vitanzi vya kutosha maana sio kwa uhujumu ule! Barabara "mpya" lakini tayari zimeumuka kila baada ya hatua chache!
 
Sidhani kama anapigwa coz hatujui budget iliotolewa...na marekebisho niliyoona sio mabaya
 
Kwani Magufuli alikua na fani hiyo?,Magufuli mwalimu wa kemia sasa Mwalimu wa kemia na uhandisi wapi na wapi?

Mara nyingi kwenye wizara,watendaji kama makatibu wa wizara ndio hua wenye fani kulingana na wizara husika.
Please read between the lines
 
Back
Top Bottom