mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Huyo waziri fani imo kwenye damu kama alivyokuwa Maguu!!!!?Wana jf,
Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie.
Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
Yaani Jana nimerushwa rushwa kama nipo laf-road sijui Hawa mainginia Ni wa wapiHii Bagamoyo road upanuaji wote mi naona ovyo tu barabara hazieleweki yani imekamilika ina mawimbi ovyo ovyo tu
Lami ya kupakaHii Bagamoyo road upanuaji wote mi naona ovyo tu barabara hazieleweki yani imekamilika ina mawimbi ovyo ovyo tu
Ndio hivyo tushapigwa kama mwanzo tulivyopigwaaHapo wananchi wasipopaza sauti ndo bas tena imeisha hiyo
Kwani Magufuli alikua na fani hiyo?,Magufuli mwalimu wa kemia sasa Mwalimu wa kemia na uhandisi wapi na wapi?Huyo waziri fani imo kwenye damu kama alivyokuwa Maguu!!!!?
Kitu kisipokuwa damuni inakuwa bora liende, namkumbuka Shukuru Kawambwa barabara zilimshinda na elimu ndiyo kabisaaaaaaa!!!!
Please read between the linesKwani Magufuli alikua na fani hiyo?,Magufuli mwalimu wa kemia sasa Mwalimu wa kemia na uhandisi wapi na wapi?
Mara nyingi kwenye wizara,watendaji kama makatibu wa wizara ndio hua wenye fani kulingana na wizara husika.