Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani.

Hivi unamaanisha ni mimi sijamuelewa Dkt Kalemani?
Alichomaanisha ni kwamba, inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa lakini wananchi wanakufa kwa njaa, sasa huo uchumi unatumikaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sidhani kama inawezekana kusafirisha Megawatt 2100 kwa line ya msongo wa 33KV. Hapo itatakiwa 66KV au 132KV.
 
Safi kabisa, [HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tu
 
hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani.

Hivi unamaanisha ni mimi sijamuelewa Dkt Kalemani?
Umeme wa kutoka moja kwa moja kwenye dam hautawazaidia wananchi kwasabubu ni VERY HIGH VOLTAGE. Ila hao watakao pisha mradi watafungiwa umeme unaotoka kwenye other sources ambazo ni salama kwa kutumia majumbani.

Mungu akiwapa akili mzitumie basi khaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
 
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Maendeleo yanahitaji sacrifies pia! Sio kama huko kwenu mkiskia mradi mnaenda kujitwalia ardhi ready to harvest. Kwa baba Magu unalizwa mapemaa...
 
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Mkuu issue IPO hivi, huo mradi upo kwenye plans since Nyerere era.
Sasa kutokana na kuchukua muda mrefu, watu itakuwa walianza kuweka makazi yao pasipo kujua wala kuongea na ofisi za serikali za vijiji. Sasa ndio wanaanza kujenga, wakikutwa kwenye eneo husika, inabidi wapishe watu wajenge. Usiilaumu government
 
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Poleni Kenya, huku serikali ikichukuwa ardhi na ikathibitishwa ni yako kihalali, unapewa eneo lingine.
 
Maendeleo yanahitaji sacrifies pia! Sio kama huko kwenu mkiskia mradi mnaenda kujitwalia ardhi ready to harvest. Kwa baba Magu unalizwa mapemaa...
Hiyo ndiyo sababu nyinyi kuwa LDC.
 
Hiyo ndiyo sababu nyinyi kuwa LDC.
Mbona unahamisha mada?

It's our dam on our land by our decision!

Unajifanya unaumia kusikia tunatoa ardhi bure kwaajili ya mradi, we don't buy such hypocrisy!

Take a cold glass of water and watch the project taking shape fiercely!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hata Bagamoyo ulikuwa project so siwezi nikasadiki any Tz project until it's complete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…