mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Umeshindwa kunijibu kulingana na matamshi yake Dkt.huna hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindwa kunijibu kulingana na matamshi yake Dkt.huna hoja
Endeleeni kuisoma namba tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]"hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani".
This is so sad.
Alichomaanisha ni kwamba, inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa lakini wananchi wanakufa kwa njaa, sasa huo uchumi unatumikaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani.
Hivi unamaanisha ni mimi sijamuelewa Dkt Kalemani?
Usijifanye unatuonea huruma that is hypocrisy"hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani".
This is so sad.
33 Kv ni kidogo sana but anyway have fun while it lasts.Endeleeni kuisoma namba tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahahahahaha takes a thief to catch a thief.Usijifanye unatuonea huruma that is hypocrisy
Safi kabisa, [HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tuWAZIRI WA NISHATI
ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI
WA NJIA YA UMEME KUELEKEA
STIEGLERS GORGE
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani
ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya
ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha
Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa
kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha
Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji
ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge).
Dkt. Kalemani aliyasema hayo mkoani
Morogoro wakati alipofanya ziara ya
kukagua utekelezaji wa kazi ya maandalizi
ya ujenzi wa mradi wa Stiegler’s Gorge
utakaozalisha umeme wa kiasi cha
megawati 2100 pamoja na kuzungumza na
wananchi katika vijiji vinavyopitiwa na
miundombinu hiyo ya kusafirisha Umeme.
Dkt. Kalemani alisema kuwa, maandalizi
ya utekelezaji wa mradi wa Umeme wa
Stiegler’s yanajumuisha ujenzi wa
miundombinu mbalimbali ikiwemo ya
Barabara na usafirishaji Umeme kuelekea
eneo la Mradi ili mradi huo mkubwa
utekelezwe kwa ufanisi.
Alieleza kuwa, ujenzi wa miundombinu
hiyo ya usafirishaji umeme unatekelezwa
na kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni
tanzu ya TANESCO na kwamba
miundombinu hiyo inajengwa kutoka
katika kituo cha kituo cha kupoza umeme
cha Msavu hadi Mto Rufiji ambapo ni
takriban kilometa 170.
“Kwa Vijiji ambavyo vinapitiwa na mradi
huu wa njia ya kusafirisha umeme,
wananchi watafungiwa umeme kwa
gharama ya shilingi 27,000 kama ilivyo
katika vijiji vingine vinavyopitiwa na
miradi ya usambazaji umeme vijijini na
hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani.
Alisema kuwa, mradi wa Umeme wa
Stiegler’s Gorge unatarajiwa kuanza
kutekelezwa mwezi Februari mwaka huu
mara baada ya Mkandarasi kupatikana na
kwamba ujenzi wa miundombinu ya
usafirishaji umeme kuelekea eneo hilo la
mradi umetekelezwa kwa zaidi ya asilimia
80 na utakamilika mwezi Aprili mwaka
huu.
Meneja Mradi wa Stiegler’s Gorge kutoka
TANESCO, Florence Gwang’ombe, alisema
kuwa mradi huo wa ujenzi wa njia ya
kusafirisha umeme utaboresha upatikanaji
wa umeme katika maeneo ambayo
hayakuwa na Umeme ikiwemo baadhi ya
maeneo ya Manispaa ya Morogoro, vijiji
vya Matombo, Dakawa, Kisaki pamoja na
kambi ya Maafisa wa Wanyamapori ya
Matambwe.
Alisema kuwa, mradi unatarajiwa
kutumia kiasi cha shilingi bilioni 6.1 hadi
kukamilika kwake na kwamba nguzo
zinazotumika katika mradi huo ni za miti
na zege na katika sehemu nyingine umeme
utasafirishwa kwa kutumia nyaya
zitakazopitishwa ardhini.
Kwa upande wake, Mkuu wa wilaya ya
Morogoro, Regina Chonjo alimpongeza
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwa
kufanya uamuzi wa kuanza kutekeleza
mradi huo wa Stieglers Gorge ambao
alisema kuwa utaimarisha hali ya
upatikanaji wa umeme nchini, utainua
uchumi wa nchi kutokana na kuchochea
uanzishwaji wa viwanda pamoja na
maendeleo ya mtu mmoja mmoja kupitia
shughuli mbalimbali zinazotegemea nishati
ya umeme.
Umeme wa kutoka moja kwa moja kwenye dam hautawazaidia wananchi kwasabubu ni VERY HIGH VOLTAGE. Ila hao watakao pisha mradi watafungiwa umeme unaotoka kwenye other sources ambazo ni salama kwa kutumia majumbani.hakuna fidia kwa wananchi watakaopisha
miundombinu hii,” alisema Dkt Kalemani.
Hivi unamaanisha ni mimi sijamuelewa Dkt Kalemani?
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.Umeme wa kutoka moja kwa moja kwenye dam hautawazaidia wananchi kwasabubu ni VERY HIGH VOLTAGE. Ila hao watakao pisha mradi watafungiwa umeme unaotoka kwenye other sources ambazo ni salama kwa kutumia majumbani.
Mungu akipawa akili mzitumie basi khaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
33kV ni auxilliary power kwa ajili ya kuhudumia mahitaji ya umeme wakati wa ujenziSidhani kama inawezekana kusafirisha Megawatt 2100 kwa line ya msongo wa 33KV. Hapo itatakiwa 66KV au 132KV.
Maendeleo yanahitaji sacrifies pia! Sio kama huko kwenu mkiskia mradi mnaenda kujitwalia ardhi ready to harvest. Kwa baba Magu unalizwa mapemaa...Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Hizo ni kwaajili ya kusadia project my friend.Sidhani kama inawezekana kusafirisha Megawatt 2100 kwa line ya msongo wa 33KV. Hapo itatakiwa 66KV au 132KV.
Mkuu issue IPO hivi, huo mradi upo kwenye plans since Nyerere era.Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Poleni Kenya, huku serikali ikichukuwa ardhi na ikathibitishwa ni yako kihalali, unapewa eneo lingine.Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Kuhamisha ufukara?Poleni Kenya, huku serikali ikichukuwa ardhi na ikathibitishwa ni yako kihalali, unapewa eneo lingine.
Hiyo ndiyo sababu nyinyi kuwa LDC.Maendeleo yanahitaji sacrifies pia! Sio kama huko kwenu mkiskia mradi mnaenda kujitwalia ardhi ready to harvest. Kwa baba Magu unalizwa mapemaa...
Nimemuona, I can feel his burn!Amerudi akiwa amewehuka
Mbona unahamisha mada?Hiyo ndiyo sababu nyinyi kuwa LDC.
Hata Bagamoyo ulikuwa project so siwezi nikasadiki any Tz project until it's complete.Mbona unahamisha mada?
It's our dam on our land by our decision!
Unajifanya unaumia kusikia tunatoa ardhi bure kwaajili ya mradi, we don't buy such hypocrisy!
Take a cold glass of water and watch the project taking shape fiercely!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]