Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Fidia ya nini hayo mashamba yenyewe wamepewa bure labda watake mashamba serikali itawapatia bure tz ina ardhi ya kutosha vijijini unauziwa heka moja tsh100000 = kama ksh5000 tu
 
Ndiyo maana umasikini umekidhiri huko kama bei ya shamba ni sooo cheap, sasa Ata ukitaka kuchukua mkopo kwa bank sioni vile watakupea kama collateral yako haina dhamana ya kutosha.

Hapa Kenya bei ya shamba iko juu such that unaweza kuchukua mkopo na kufadhili biashara yako ukitumia title deed kama collateral huku ukilipa pole pole.
 
Fidia ya nini hayo mashamba yenyewe wamepewa bure labda watake mashamba serikali itawapatia bure tz ina ardhi ya kutosha vijijini unauziwa heka moja tsh100000 = kama ksh5000 tu
Yote hiyo mi nlinunua kila eka 30000 mwaka 2010 njia ya kwenda songea....mwambie nyang'au tz cio kenya
 
Hapa siyo Kenya mkuu.
 
Serikali ya SSM huwa siiamini,huwa mbwembwe sana kuliko kutekeleza,kuna airport za mwanz na songwe zinajengwa toka enz za mkapa haijulikan zitaisha lini hata huu mradi toka tumezaliwa ni hadithi hizo hizo,fanyeni ndo nje kusifu humu
 
Nyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.
Hii ni Tanzania na huko ni Kenya, tabia ya kila mtu kukumbatia ardhi na kusubiri fidia kubwa, ndiyo iliyosababisha Uganda pipeline kuhamia Tanzania, ajira nyingi zimepotea, na serikali kukosa mapato ya karibu $1B kwa mwaka. Tabia yenu ya kukataa na ardhi hata kama huna uwezo wa kuzalishia mali ndiyo inayoifanya Kenya kuwa na njaa isiyokwisha na kuitegemea Tanzania kwa chakula, sisi tunaokubali kuachia ardhi kwa faida ya nchi, ndiyo mnaotutegemea kwa chakula.
 
Serikali ya SSM huwa siiamini,huwa mbwembwe sana kuliko kutekeleza,kuna airport za mwanz na songwe zinajengwa toka enz za mkapa haijulikan zitaisha lini hata huu mradi toka tumezaliwa ni hadithi hizo hizo,fanyeni ndo nje kusifu humu
viwanja hivyo vimejengwa Kwa phases. Wap greenfield airport?
 
Ngoja uanze kulaunchiwa kila mwezi huku mashabiki wakifungua thread ya kitu hakipo utashangaa. Hehehe?
 
Serikali ya SSM huwa siiamini,huwa mbwembwe sana kuliko kutekeleza,kuna airport za mwanz na songwe zinajengwa toka enz za mkapa haijulikan zitaisha lini hata huu mradi toka tumezaliwa ni hadithi hizo hizo,fanyeni ndo nje kusifu humu
We nawe kwani umelazimishwa uiamini?
 
Kupea ndo nini sasa? Hahaha eti kupea
 
Serikali ya SSM huwa siiamini,huwa mbwembwe sana kuliko kutekeleza,kuna airport za mwanz na songwe zinajengwa toka enz za mkapa haijulikan zitaisha lini hata huu mradi toka tumezaliwa ni hadithi hizo hizo,fanyeni ndo nje kusifu humu
Serikali ya SSM ndiyo serikali gani!!? Wasalimie Kibera jombaa
 
viwanja hivyo vimejengwa Kwa phases. Wap greenfield airport?
Hiyo airport hainihusu wauliz wakenya mm ni mtanzania.
Leo nilikuwa Tunduma investment Fulani ina jina la username yako,nilisahau kupiga picha ntaileta hapa siku xhaxhe zijazo,,hadi huku upo mzee
 
Hapa kwenye umeme, naipongeza serikali, na Rais Dr. Magufuli.

Ila kuhusu Mr. Slim, anatakiwa apingwe hapo Tanzania.
 
Hawa wakenya na njaa zao wanadhani huku kuna shida ya ardhi kama kwao huku mtoto yupo tumboni kwa mama yake ila uhakika wa ardhi anao huko kwao jitu linakaribia hata uzee kumiliki ka plot tu ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…