Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Fidia ya nini hayo mashamba yenyewe wamepewa bure labda watake mashamba serikali itawapatia bure tz ina ardhi ya kutosha vijijini unauziwa heka moja tsh100000 = kama ksh5000 tuNyinyi niwanyonge kweli juu mimi siwezi Kubali shamba langu kutumiwa kama la bibi bila fidia reasonable. Sasa eti unanyakua kipande cha shamba langu unifidie na umeme??? You are jokers.