M Mzalendo07 Member Joined Feb 24, 2014 Posts 71 Reaction score 120 Sep 24, 2023 #1 Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Sep 24, 2023 #2 ruukada said: Awo jamaa ni wahuni Click to expand... Hao Jamaa ni Wahuni Kataa Wahuni.. Wahuni sio watu wazuri watakulaza Gizani
ruukada said: Awo jamaa ni wahuni Click to expand... Hao Jamaa ni Wahuni Kataa Wahuni.. Wahuni sio watu wazuri watakulaza Gizani
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Sep 24, 2023 #3 deconstractive criticism
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Sep 24, 2023 #4 Atafanya nini sasa?
M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,270 Sep 24, 2023 #5 ruukada said: Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni Click to expand... Una hoja lakini hayo maneno ya ki malkia hapo hueleweki ulitaka kusema nini.
ruukada said: Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni Click to expand... Una hoja lakini hayo maneno ya ki malkia hapo hueleweki ulitaka kusema nini.