Mh! Nothing new ll be come out!!Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa.
Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehem walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000.
Foleni kwenye sheli yenye mafuta ni kubwa sana na inasababisha watu kupigana
Naibu waziri mkuu,kaa chini na waziri wa fedha awape dola waagiza mafuta ili yapatikane kwa urahisi
Hali imekuwa mbaya,na serikali ipo kimya sana ivi hawaoni au wanamapuuzaViongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Hivi shida ni nini?Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa.
Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehem walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000.
Foleni kwenye sheli yenye mafuta ni kubwa sana na inasababisha watu kupigana
Naibu waziri mkuu,kaa chini na waziri wa fedha awape dola waagiza mafuta ili yapatikane kwa urahisi
Waziri aangalie upo uwezekano kupata mafuta ya bei poa toka urusi. Tunapigwa na wahindi kama vile hatuna akili. Wao wanapata discounted mafuta kwa 30pc toka urusi halafu wanatupiga huku waagizaji wetu hawajali bei kwa wananchi mradi wao chao wanapata.Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa.
Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehem walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000.
Foleni kwenye sheli yenye mafuta ni kubwa sana na inasababisha watu kupigana
Naibu waziri mkuu,kaa chini na waziri wa fedha awape dola waagiza mafuta ili yapatikane kwa urahisi
Inasikitisha sana aiseeeee....Hali imekuwa mbaya,na serikali ipo kimya sana ivi hawaoni au wanamapuuza
Kama wanania nzuri ya kuongoza hii nchi wangefanya hivyoWaziri aangalie upo uwezekano kupata mafuta ya bei poa toka urusi. Tunapigwa na wahindi kama vile hatuna akili. Wao wanapata discounted mafuta kwa 30pc toka urusi halafu wanatupiga huku waagizaji wetu hawajali bei kwa wananchi mradi wao chao wanapata.
Ndo kituko chenyewe hicho..Naibu waziri mkuu doto biteko,waziri wa nishati doto biteko mkuu