D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,919
- 1,094
Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa.
Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye sheli yenye mafuta ni kubwa sana na inasababisha watu kupigana
Naibu Waziri Mkuu, kaa chini na Waziri wa fedha awape dola waagiza mafuta ili yapatikane kwa urahisi.