Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kama mtu una shida ya usafiri, umeshindwa hata kununua usafiri basic kabisa kama baiskeli, halafu unawaza kununua SUV Range Rover Sports.Nini kinatuzuia kurutubisha na kisha kujenga? Kuhaha kujenga LNG plant ni ishu nyingine hoja hapa ni kutatua tatizo la nishati.
Tanzania tuna maji, the cheapest power generation, ikifuatiwa na gesi, halafu nuclear power ndio the most expensive, kama hiyo cheaper LNG imetushinda, what about a nuclear reactor?!.
Tuachani siasa na blah blah
P