Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Mar 14, 2025 #1 Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: Customer Services
Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: Customer Services
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Mar 14, 2025 #2 Taasisi za serikali ziko kizembe sana,,Hii Tanesco ingekuwa ni kampuni ya watu, unakuta taarifa ziko wazi sana
Taasisi za serikali ziko kizembe sana,,Hii Tanesco ingekuwa ni kampuni ya watu, unakuta taarifa ziko wazi sana