Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

Risala ndefuu, halafu yote ni 💨 tu. Yaani mijitu mizima na akili zenu mnalilia vitu vya kipuuzi!

Kwani msipovaa hizo jezi au kuwashangilia hao wageni, mtapungukiwa nini? Kama siyo ujinga tu unaowasumbua
Mkuu,

Kuna hoja nzito sana za kifalsafa kuhusu uhuru wa watu binafsi, haki za kikatiba, haki za binadamu, haki za watu kujiamulia mambo yao wenyewe, maana ya uzalendo, kutenganisha siasa na michezo, na nyingine nyingi kama hizo.

Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri, huwezi kuona hizo hoja za kifalsafa, utaona mjadala wa jezi na kuwashangilia wageni tu.
 
Wanaolalamika wengi ni mashabiki wa Simba. Wanatamani kuvaa jezi za njano ila hawana sababu ya kuwafanya wavae sasa imejitokeza hii ya Mamelodi ghafla waziri katoa tamko sasa wanaumia hizi jezi za njano watazivalia wapi?
 
Huyu waziri laiti asingetoa hii kauli. Ameleta taaruku na kuna kila dalili ya mchezo kujawa na fujo. Manara aliwahi sema in public kwamba Simba wananyunyuzia wapinzani wao sumu vyumbaji, serikali haijawahi sema lolote. Kote duniani, hakuna shabiki anayechaguliwa timu ya kushangilia bali huchagua mwenyewe.
 
Bado hujanishawishi! Na bado sijaona mantiki yoyote ile ya watu wazima, kulialia kama watoto wadogo! Kisa tu wamezuiliwa kuvaa jezi za wageni na kuwashangilia.
 
Yanga Ina baadhi ya mashabiki wa hovyo sana. Kwa hiyo mnataka kuwashangilia Al Ahly?..........
 
Bado hujanishawishi! Na bado sijaona mantiki yoyote ile ya watu wazima, kulialia kama watoto wadogo! Kisa tu wamezuiliwa kuvaa jezi za wageni na kuwashangilia.
Sina nia ya kukushawishi.

Ndiyo maana nikasema ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri huwezi kuona hoja za kifalsafa nilizozitaja.

Nitakushawishi vipi wakati huna uwezo wa kufikiri wa kuweza kuona hoja za kifalsafa nilizozitaja, umeishia kwenye jezi na kushangilia timu?

Ni wazi kuwa siwezi na wala sina nia ya kukushawishi.

Naweka hoja za kifalsafa kwa upana zaidi, wenye uwezo mkubwa wa kufikiri waone.

Ingawa najibizana na wewe, hizi hoja si kwa ajili yako.

Zimepita kimo chako cha fikra.
 
Risala ndefuu, halafu yote ni [emoji100] tu. Yaani mijitu mizima na akili zenu mnalilia vitu vya kipuuzi!

Kwani msipovaa hizo jezi au kuwashangilia hao wageni, mtapungukiwa nini? Kama siyo ujinga tu unaowasumbua
Mata... yako kama.soka huijui hupaswi kunyanyua kopo lako na kuzungumza, mpira sio siasa mpira ni burudani na kufanya hivyo ndio burudani yenyewe nakushauri wewe ukapige punyeto tu maana ndio furaha yako ilipo hapa kwenye soka tuachie sisi tunaojua maaa ya mpira na raha ya mpira, wewe endelea kupiga nyeto.
 
Ila kumbuka hii pesa ya serikali haitolewi kwa wachezaji bali vinapewa vilabu vyetu.
Sasa pesa ya serikali inaingiaje hapa kwenye ushabiki, ko wakitoa pesa ndio tushabikie team wanazotaka wao kisa wametoa pesa. Kama wanatoa pesa ili tushabikie tujue tu kuwa wanatununua bila ridhaa yetu
 
Wanaolalamika qengi ni mashabiki wa Simba. Wanatamani kuvaa jezi za njano ila hawana sababu ya kuwafanya wavae sasa imejitokeza hii ya Mamelodi ghafla waziri katoa tamko sasa wanaumia hizi jezi za njano watazivalia wapi?
Vyovyote tu, ila mamelodi wajue tuko nao kiroho na kimwili ili awakate ngebe....[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Watapiga watu na kuleta vurugu then wapinzani wetu wataenda kushtaki kuwa wamefanyiwa fujo. Atatuponza huyu jamaa
Huyu hata shule sidhan kama anayo, ni ngumu sana kujibizana na Dotto magari [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ingawa najibizana na wewe, hizi hoja si kwa ajili yako.
Mpuuze mkuu!
Wengine tunapenda vitu vizuri. Sa kweli nishangilie timu inabutua butua nijipe presha bure! Kisa uzalendo
Kwanza mpira hauna uzalendo ni biashara.
Bidhaa yako ikiwa nzuri sokoni itapendwa tu
 
Mpuuze mkuu!
Wengine tunapenda vitu vizuri. Sa kweli nishangilie timu inabutua butua nijipe presha bure! Kisa uzalendo
Kwanza mpira hauna uzalendo ni biashara.
Bidhaa yako ikiwa nzuri sokoni itapendwa tu
Ndiyo maana nikauliza, na kubeti nako Waziri atalazimisha watu wabeti kizalendo?

Kwamba hata watu wakijua timu ya Tanzania haitoboi asilani, atalazimisha wabeti kizalendo tu kwenye timu ya Tanzania?
 
Ndiyo maana nikauliza, na kubeti nako Waziri atalazimisha watu wabeti kizalendo?

Kwamba hata watu wakijua timu ya Tanzania haitoboi asilani, atalazimisha wabeti kizalendo tu kwenye timu ya Tanzania?
Kuna watu hawajielewi 100% suala la mpira ni burudani tu, kama wengine wanavyochukulia kufanya ngono kamastarehe, au kunywa pombe kama starehe ndo vivyo hivyo hata katika soka, mpira hajawahi kuwa kipimo cha uzalendo,

Sasa kama mpira ni starehe kama starehe zingine ni sawa na jamaa kuja kukwambia upige bao ngapi, au unywe kinywaji chako, by the way katika socca tunalipia galama kuingia uwanjani kwa pesa zetu wenyewe na ratiba zetu wenyewe, leo hii huwezi kunipangia nishabikie team gani, au ipi nisishabikie bali nitashanikia ile team ambayo naona ndio itanipa raha au itakidhi uhitaji wa furaha yangu kwa siku hiyo,

Afu swala la mashabiki kushabikia vilabu ambayo sio vya nchi zao kwenye International games sioBongo tu, Imagine waarabu na itikadi zao na udini wao ila linapokuja swala la mpira wanashabikia vilabu vya mataifa mengine, sasa itakuwaje bongo hii tuanze kulazimisha, na hizo mbwembwe ndio zinakuza soccor na kuleta chachu,

Afu jamaa anavyosema Jezi kwake anaona Jezi sio kitu cha maana hii ni kuonesha mpira haujui kwetu sisi mashabiki wa soka jezi ni mhimu sana kwetu hata zaidi ya kadi ya uanachama maana jezi ni kitu kinaweza kukutambulisha popote unapoenda tofauti na kadi ambayo inakaa kwenye warret,

Jezi huleta umoja,
Jezi huleta ushirikiano,
Jezi huleta muungano,
Jezi husaidia watu kutambuana,
Jezi huleta upendo,

Zaidi na zaidi jezi hiyo unayoiona sio ya maana ila imesababisha baadhi ya watu kupata ajira na wengine kupata kipato.

Acheni kuleta siasa katika mpira hiki sio kijiwe cha wauza kahawa,

Pia linapokuja swala la uhuru wa mtu binafsi ni pamoja nakuchagua kipi kinakupa furaha mathalani hauvunji sheria, sasa leo Mjinga mmoja aniforce nishabikie team flani au nipigwe kisa nimevaa jezi ya team hiyo kikatiba nakisheria ni kosa gani sasa.

Acheni uchawa katika soka lambaneni mguu huko mlikozoea, huku kwetu mkijichanganya tutawanyoosha. Na mtauponza.
 
Sasa si mvae hizo brauzi za hao waume zenu halafu muende mkawashangilie. Kwa nini mnalialia kila siku humu jukwaani? Au mnataka muonewe huruma na huyo Waziri?

Tuachieni umama wenu hapa.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Kama una uwezo wa kuvaa hizo jezi na kwenda kuwashangilia hao wageni, si uvae! Huna sababu ya kulialia humu jukwaani kama mtoto mchanga na hao wenzako.
 
Mara nyingine watu walioshindwa kazi kuchafua meza kwa makaratasi mengi na kufanya maigizo mengi kuwa wako busy wanafanya kazi.

Lakini ukichunguza hakuna cha maana wanachofanya.

Ndicho kinachotokea.

The minister is busy doing nothing.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Kama una uwezo wa kuvaa hizo jezi na kwenda kuwashangilia hao wageni, si uvae! Huna sababu ya kulialia humu jukwaani kama mtoto mchanga na hao wenzako.
Sipendi majibizano marefu na watu ambao hawajafikia viwango vya kujibizana nami na ninwazi wanaangusha standard za majadiliano.

Umepoteza privilege za kujibizana nami moja kwa moja.

Nakupeleka ignore list.

I can only entertain rational argument I am afraud.

Kuanzia hapa sitaona chochote utakachoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…