Hakuna mtu analia hapa tunazungumza kuona ni jinsi gani msivyo na akili wew na huyo mjinga mwenzio msiojua katiba ya nchi hasa katika uhuru wa mtu binafsi. Afu swala la mwanainchi kulalamikia/kulilia serikali yake ndio democrasia yenyewe, nyie mang'ombe endeleeni kuburuzwa
Nasubiri majibu hapa. Unaleta uzalendo kwenye clab kuna critical thinking hapa?
Tangu lini clabu ikaleta uzalendo kwenye nchi au ikaheshimisha nchi?
Ivorycost na Nigeria wameingia finally Afcon nitajie ni clab gani kwenye hizi nchi imewahi kuchukua clab bingwa Africa, au clab gani inawapa heshima kama taifa, ukilinganisha na Team ya taifa,
Leo serikali imeshindwa kuleta uzalendo kwa kuithamini team ya Taifa na kuweka mipango ambayo itaheshimisha wachezaji wazawa Iwa motivate iwatengenezee platform nzuri ya kuwakuza ili itangaze taifa leo wanaleta kelele kwenye clubs ambazo ni mali za watu,
Clubs ambazo hadi kufika hapo ni juhudi binafsi za wawekezaji binafsi ambao wameweka mipango kazi yao na kuwekeza pesa zao hadi wamefika hapo leo unakuja kuitetea clab na kuiona mali ya Taifa hata Budget ya Yanga na simba huijui huo si utahira kabisa
Club haijawahi kuwa mali ya Taifa club ni mali ya mwekezaji mkitaka uzalendo tafteni kocha mzuri wa TAIFA STARS WEKEZENI KWA TAIFA STARS, FUNGUENI ACCADEMY ZA KUINUA VIPAJI KWA AJILI YA KUPATA PROFESSIONAL PLAYERS AMBAO WATAIWAKILISHA NCHI,
LEO UNATAKA AZIZ KI, NA ENOKI ENONGA WAPIGANIE UZALENDO WA TAIFA LA TANZANIA MNAUMWA.