Kama swala ni uzalendo tukumbuke kuwa katika vilabu kuna wachezaji wanacheza ambao sio watanzania, wanacheza kwa sababu wameajiliwa na wanafanya hivyo kama kitu kinachowapa furaha(pesa) kama kwenye vilabu kuna wazalendo na uzalendo vipi kuhusu wachezaji wa kigeni wanaochezea team hizi? Nao watacheza kizalendo au watacheza kama akina nani?
Suala hili sio dogo na ni swala la kushangaza sana.
vipi kama kungekuwa kuna mtanzania anayechezea Mamelody? Jezi angevaa na angewafunga uto bila kujali habari za uzalendo uchwara.Yuko sahihi
Hakuna mtu analia hapa tunazungumza kuona ni jinsi gani msivyo na akili wew na huyo mjinga mwenzio msiojua katiba ya nchi hasa katika uhuru wa mtu binafsi. Afu swala la mwanainchi kulalamikia/kulilia serikali yake ndio democrasia yenyewe, nyie mang'ombe endeleeni kuburuzwaUmeandika ujinga tu hapa. Kama una uwezo wa kuvaa hizo jezi na kwenda kuwashangilia hao wageni, si uvae! Huna sababu ya kulialia humu jukwaani kama mtoto mchanga na hao wenzako.
Acha ujinga wako wewe. Kwani ukinipeleka huko ignore list utanipunguzia nini!Sipendi majibizano marefu na watu ambao hawajafikia viwango vya kujibizana nami na ninwazi wanaangusha standard za majadiliano.
Umepoteza privilege za kujibizana nami moja kwa moja.
Nakupeleka ignore list.
I can only entertain rational argument I am afraud.
Kuanzia hapa sitaona chochote utakachoandika.
PMP MEMBER, poor minded people. Hii kampuni imekuwa sana hapa nchini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Acha ujinga wako wewe. Kwani ukinipeleka huko ignore list utanipunguzia nini!
Empty head.Wanakuto-ambwa wewe.Hujielewi.Wewe ni caged bird.Hata ukipewa uhuru unaona mateso.
Wakati fulani ng'ombe zinatakiwa ziswagwe kwa viboko. Na nitafurahi sana hiyo siku mkicharazwa viboko kutokana na huu ujinga wenu.Hakuna mtu analia hapa tunazungumza kuona ni jinsi gani msivyo na akili wew na huyo mjinga mwenzio msiojua katiba ya nchi hasa katika uhuru wa mtu binafsi. Afu swala la mwanainchi kulalamikia/kulilia serikali yake ndio democrasia yenyewe, nyie mang'ombe endeleeni kuburuzwa
Nasubiri majibu hapa. Unaleta uzalendo kwenye clab kuna critical thinking hapa?Hakuna mtu analia hapa tunazungumza kuona ni jinsi gani msivyo na akili wew na huyo mjinga mwenzio msiojua katiba ya nchi hasa katika uhuru wa mtu binafsi. Afu swala la mwanainchi kulalamikia/kulilia serikali yake ndio democrasia yenyewe, nyie mang'ombe endeleeni kuburuzwa
Kwani na sisi tukivaa hizo jezi za wageni hao waropokaji na wewe mtapungukiwa na Nini some time uwe una acha upumbavu, pumbavRisala ndefuu, halafu yote ni [emoji100] tu. Yaani mijitu mizima na akili zenu mnalilia vitu vya kipuuzi!
Kwani msipovaa hizo jezi au kuwashangilia hao wageni, mtapungukiwa nini? Kama siyo ujinga tu unaowasumbua
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani na sisi tukivaa hizo jezi za wageni hao waropokaji na wewe mtapungukiwa na Nini some time uwe una acha upumbavu, pumbav
Pumbav babu yako aliyekuambukiza ujinga.Kwani na sisi tukivaa hizo jezi za wageni hao waropokaji na wewe mtapungukiwa na Nini some time uwe una acha upumbavu, pumbav
Eti na wajinga wenzako mnajiona mna akili timamu kulalamika kuzuiliwa kuvaa jezi za timu za nje na kuzishangilia!! Nyinyi ni Ma hopeless ya mwisho kabisa.PMP MEMBER, poor minded people. Hii kampuni imekuwa sana hapa nchini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa ukiona watu wote wpo kinyume na mtazamo wako ujue ww ndio tatzo mkuu, na bado haustuki yaniEti na wajinga wenzako mnajiona mna akili timamu kulalamika kuzuiliwa kuvaa jezi za timu za nje na kuzishangilia!! Nyinyi ni Ma hopeless ya mwisho kabisa.
Wewe ndo ****, kwani kushangilia Simba na Yanga ni lazima..?Risala ndefuu, halafu yote ni 💨 tu. Yaani mijitu mizima na akili zenu mnalilia vitu vya kipuuzi!
Kwani msipovaa hizo jezi au kuwashangilia hao wageni, mtapungukiwa nini? Kama siyo ujinga tu unaowasumbua
Mimi nikiwa **** na baba yako mzazi atakuwa nani?Wewe ndo ****, kwani kushangilia Simba na Yanga ni lazima..?
Mimi siwezi kuwa tatizo. Tatizo kubwa mnalo nyinyi ambao mnaona ni sahihi kujipendekeza kwa wageni, kwa lengo tu la kufikiri mnawakomoa watu wa upande mwingine!Sasa ukiona watu wote wpo kinyume na mtazamo wako ujue ww ndio tatzo mkuu, na bado haustuki yani