Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

Waziri endelea na msimamo wako tena ongeza na adhabu ya bakora kwa watakao kiuka agizo lako.
Hakuna Caf/ Fifa watakao tufungia kwa ilo nina uhakika wa 100% .
Tena utakua umeisaidia sana Tff ili swala lilikua likiwaumiza ila walikua hawana jinsi.
I wish Waziri angewapa hilo jukumu la kuwadhibiti hawa nyumbu wasio jitambua, vijana wetu wa Suma JKT! Yaani zinakuja nyumbu na jezi zao kuwashangilia hao wageni; ni kucharaza tu bakora za kwenye makalio mpaka akili ziwakae sawa.

Siku zote hakuna uhuru usio na mipaka. Vilabu vya nje miaka nenda vimekuwa vikituona Watanzania kama watu tusiojitambua/nyumbu, kwa sababu tu ya ujinga wa watu/nyumbu wachache.
 
Yaani katika mambo ambayo yanatukwamisha na kutu aibisha ni hizi za kuwa support wageni.
Ata vilabu vyetu vilipoteza fainali nyumbani sababu ni hii.
Yaani baadhi yetu wana roho mbaya kiasi wanaona ni jambo la fahari na kujivunia kushangilia wageni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamelod wameishika pabaya had wizara ya michezo, ajabu iliyojee, woiiiih
 
Kwaiyo Ndumbaro anataka watanzania wote milioni wanaofanya kazi nje waachishwe kazi Kwa kuwa taasisi hizo sio zetu. Au Crdb Burundi igomeww na warundi kisa sio benki Yao[emoji41] tunatatizo la kufikiri au hizi SoMo za dini sijui
 
Waziri endelea na msimamo wako tena ongeza na adhabu ya bakora kwa watakao kiuka agizo lako.
Hakuna Caf/ Fifa watakao tufungia kwa ilo nina uhakika wa 100% .
Tena utakua umeisaidia sana Tff ili swala lilikua likiwaumiza ila walikua hawana jinsi.
Unaijua soka kweli.
 
Yaani katika mambo ambayo yanatukwamisha na kutu aibisha ni hizi za kuwa support wageni.
Ata vilabu vyetu vilipoteza fainali nyumbani sababu ni hii.
Yaani baadhi yetu wana roho mbaya kiasi wanaona ni jambo la fahari na kujivunia kushangilia wageni
Finally ipi unasemea ww takataka club gan ilishawah kufika final?
 
Kule south Africa timu zetu zikienda huwa zinapata mashabiki wa huko huku..mchezo ni burudani mtu anashabikia timu aipendayo asitupangie
 
Ndugu mbumbumbu ebu pumzika, soka sio mchezo unao ufahamu vizuri ni bora ukawa mtazamaji. Wakati wanao fahamu wanajadili , wewe kuwa msomaji, itakusaidia.
Afu hakuna Club ambayo ni mali ya Taifa wew Ngeke,
 
Huyu waziri sijui alipatikanaje hadi kuwa hapo ana shida sana kwenye kufikiria. Yanga na Simba zimekuwa hapo zilipo kutokana na upinzani walionao na walioudumisha toka kuanzishwa kwao. Kutaka kuzifanya kuwa marafiki nikutaka kuziua.
 
Hii kauli inakiuka haki ya utashi binafsi wa mtu.

Ni udikteta na sio sahihi. Hatupo katika ulimwengu wa kupangiani nini mtu avae ili hali hakuna sheria anavunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…