Tatizo siyo Meneja wa TARURA tatizo ni mfumo mzima umeoza, hatara umlete Philipo Mpango lazima atachukua tu rushwa, tudai katiba mpya tupate mifumo sahihiWakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.
Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa. Mfano kama mradi wako ni Tsh. Milioni 200 basi lazima utoe milioni 20 kama rushwa.
Wilaya iliyokithiri kwa vitendo vya rushwa ni Wilaya ya Tarime chini ya Meneja wa Wilaya hiyo. Mhe. Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa Tarura Mkoa wa Mara. Wanatesa sana Wakandarasi.
Siyo halmshauri pekee ni nchi nzima kwenye taasisi za ummaSina hakika kama kuna contractor yyt anapata kazi halmashauri bila kuhonga pamoja na kutoa ten percent ya malipo ya mradi husika
Mkuu vipi huu ushauri wako umefanyiwa kazi?Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.
Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa. Mfano kama mradi wako ni Tsh. Milioni 200 basi lazima utoe milioni 20 kama rushwa.
Wilaya iliyokithiri kwa vitendo vya rushwa ni Wilaya ya Tarime chini ya Meneja wa Wilaya hiyo. Mhe. Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa Tarura Mkoa wa Mara. Wanatesa sana Wakandarasi.
Niliomba kazi mwaka jana, nikaambiwa na mtu wa procurement nitoe Million 5 ili niweze kupewa kazi ya ukandarasi. Nikamwambia tuandikishane nikipata kazi tu nikupe million 5 yako[emoji3][emoji3]akakataa. Nikaomba tu wala sikupata kazi yenyeweWakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.
Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa. Mfano kama mradi wako ni Tsh. Milioni 200 basi lazima utoe milioni 20 kama rushwa.
Wilaya iliyokithiri kwa vitendo vya rushwa ni Wilaya ya Tarime chini ya Meneja wa Wilaya hiyo. Mhe. Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa Tarura Mkoa wa Mara. Wanatesa sana Wakandarasi.
Rushwa ni tatizo kubwa ambalo linaikabili serikali na taasisi zake. Kila taasisi ukifika ni chenga tu mpaka utoe rushwa ndio huduma inatolewa. Na kama hautakuwa tayari kutoa inabidi ujiandae kununua jozi nyingine za viatu. Maana kesho njoo zitakuwa nyingi kupitia maelezo.Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.