Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.

Screenshot_20250205-222305_YouTube.jpg


Screenshot_20250205-222258_YouTube.jpg
 
Inaonekana Afrika Kusini wana Katiba nzuri kama ya Marekani.

Kufuatia mashambulizi ya aliyekuwa Mgombea wa Urais Donald Trump, Mkuu wa Usalama aliitwa na Kuhojiwa na Bunge na baadaye kujiuzuru


Hapo Afrika Kusini, baada ya Askari wa Jeshi kuuawa huko Goma, Leo hii Mkuu wa Jeshi pamoja na Waziri wake wanahojiwa na Bunge.

Huku Tanzania, watu wanatekwa na kuuawa Mchana kweupe lakini hakuna anayechukuliwa hatua, utasema wanaofanyiwa hivyo ni Ng'ombe na sio watu 🙌

Kwa hili naungana na Erythrocyte kusema "Mungu wabariki Wazungu"🙏
 
This is africa where people's are too black in minds
 
Huko Bungeni wanashindna kula Wali maharagwe sasa watakuwa na akili ya kutambua kipi cha muhimu kwa nchi? Utashangaa wabunge nao wanawashangaa wananchi kwanini mnawachagua wakati wao wanatania tu.
 
Back
Top Bottom