Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
Huko Bungeni wanashindna kula Wali maharagwe sasa watakuwa na akili ya kutambua kipi cha muhimu kwa nchi? Utashangaa wabunge nao wanawashangaa wananchi kwanini mnawachagua wakati wao wanatania tu.