Wewe na elimu ya madrasa huwezi tafsiri alichozungumza huyo waziri , hebu nenda kasome upya alichozungumza ๐๐Unapiga mabomu nyamba zao
Unapiga mabomu ambulance unapiga mambo shule unapiga mabomu Misikiti unapiga mabomu watoto unapiga mabomu wanawake kisha unawaambia wakusaidie kitafuta ndugu zao hawa kweli vichaa๐
Nenda kasome upya huo ujumbe aliouandika huyo waziri. Naona mnafarijiana hapa Kwa kutokutafsiri ipasavyo.Hawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
Wawaokoe mateka wao si wako ndani ya gaza, sasa msaada wa wapalestina wa nn tena , kwani majasusi wao wameenda wapi?Nenda kasome upya huo ujumbe aliouandika huyo waziri. Naona mnafarijiana hapa Kwa kutokutafsiri ipasavyo.
Jamaa katoa machagulio mawili , aidha usaidie mateka kupatikana upone au kifo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza tambua target Namba Moja ya Israel katika vita hii ni kuwamaliza Hao magaidi . Ndiyo maana unaona IDF inafanya uharibifu maeneo Kila wakipata taarifa kuwa eneo Hilo wapo HAMAS wamejificha . Hilo la mateka ipo special unit Kwa ajili ya kufanya ukombozi , refer ya mateka wa Israel huko Uganda .Mbona kuna drones za US ziko kwenye anga ya Gaza kujaribu kubainisha maeneo walipo mateka?
Hilo la kutambua mateka wako wapi litafuata baadae , lakini lengo kuu la Israel ni kupambana na hao wahuni .Kitu ambacho IDF nadhani haitaki kukikubali,kwa taarifa ya msemaji wa Hamas,wale mateka wamewekwa maeneo tofauti tofauti,na inasemekana mateka wengine hawako Gaza,wako nje ya Gaza!
Hebu Niambie ni taifa Gani limewahi kukaa meza Moja na magaidi na wakajadiliana Kisha kufikia makubaliano. Hao magaidi wanakupa msururu wa matakwa yao na wanataka uyatekeleze wewe ungeweza ?.Hamasi walishatoa msimamo wa, kwanza IDF isimamisha mashambulizi,pili makubaliano ya kuwachia mateka lazima kuambatane na Israel kuwaachia mateka wa kipalestina wanaoshikiliwa na Israel.
Israel Hana shida Sana na mateka , yeye lengo ni ku deal na hao wahuni wa HAMAS anajua anachokifanya Mimi na wewe tusimpangie ๐๐Wawaokoe mateka wao si wako ndani ya gaza, sasa msaada wa wapalestina wa nn tena , kwani majasusi wao wameenda wapi?
Hakuna mtu wa Gaza atakayedanganyika na ahadu za yahudi akatoa siri za Hamas.Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
โI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,โ former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Sasa hizo taarifa za mateka walipo wana taka za nn?Israel Hana shida Sana na mateka , yeye lengo ni ku deal na hao wahuni wa HAMAS anajua anachokifanya Mimi na wewe tusimpangie [emoji16][emoji16]
Wanataka taarifa za mateka Kwa sababu " alipo mateka ndipo yupo gaidi" ๐๐Sasa hizo taarifa za mateka walipo wana taka za nn?
Basi sawa ndio uwelewa wako,sasa vipi na wasipo waangamiza utakuja kutuambia nn tena?Wanataka taarifa za mateka Kwa sababu " alipo mateka ndipo yupo gaidi" [emoji23][emoji23]
" Tunatembeza kichapo kikali Gaza Ili siku nyingne raia wakiwaona HAMAS wawaripoti Kwetu " by Netanyahu ๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ฑHakuna mtu wa Gaza atakayedanganyika na ahadu za yahudi akatoa siri za Hamas.
Mkuu tulia , hii ngoma Bado mbichi . Gaidi anatafutwa popote alipojificha Hadi ateme ndoano ๐๐Basi sawa ndio uwelewa wako,sasa vipi na wasipo waangamiza utakuja kutuambia nn tena?
Uwendawazimu wao ni nini? Hapo wanawaambia wasipoonekana hao mateka mtakwisha.Hawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
Mkuu tulia , hii ngoma Bado mbichi . Gaidi anatafutwa popote alipojificha Hadi ateme ndoano ๐๐
View attachment 2803649
Ni uchaguzi wako, kinyume na hapo unaenda kuungana nao.Hivi na wewe unazo akili yaani uniulie wazee na ndugu zangu halafu nikusaidie?
Hii ni visual effect/ photo shop sio real time .
Kumbe weupe sana hawana hata MarindaHawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
Washachanganyikiwa wahurumieniYaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.
The rest deserve to dieWanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
โI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,โ former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.