F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Wewe na elimu ya madrasa huwezi tafsiri alichozungumza huyo waziri , hebu nenda kasome upya alichozungumza 😂😂Unapiga mabomu nyamba zao
Unapiga mabomu ambulance unapiga mambo shule unapiga mabomu Misikiti unapiga mabomu watoto unapiga mabomu wanawake kisha unawaambia wakusaidie kitafuta ndugu zao hawa kweli vichaa😂