Maneno ya wahenga, waweza tolewa NISHAI/SHOW na katoto kadogo kabisa kama unaleta undava, ujinga, uonevu, ubabe.Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Asante mkuu . Ndo maana Netanyahu anawatwanga WapalestinaPalestine ni Hamas.
ndio utukane? Tulia wewe, hizo ni mbinu za kivita tu, magaidi lazima wapigwe mkonoHawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
ndio utukane? Tulia wewe, hizo ni mbinu za kivita tu, magaidi lazima wapigwe mkono
Nibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au [emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kuona kizungu zungu ?Hii ni visual effect/ photo shop sio real time .
Ni kama game, angalia huo moto unavyowaka !
Labda niwe CCM wa Zanzibar ndio hufanya hivyo wanauliwa ndugu zao halafu wakipewa vilemba vya ukoka wanataka Muungano wa serikali 2Ni uchaguzi wako, kinyume na hapo unaenda kuungana nao.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
The Zionist state of Israel is committing genocide.Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Hii comment imemaliza kila kitu.Hao ni wajukuu wa shetani I feel sorry to the real Jews [emoji174][emoji174][emoji174]
Mbona huko Israel kuna mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10 na wengine wako ndani zaidi ya miaka 30?Wewe kusaidia Mimi kupata ndugu zangu waliotekwa ni hiari Yako . Lakini Mimi kuamua kuingia vitani Ili kuwakomboa mateka wangu nisikusikie unalalamika na kulialia kama mbwaππ
Vita haina macho mkuuYaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.
So what?Mbona huko Israel kuna mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10 na wengine wako ndani zaidi ya miaka 30?
Mbona huko Israel kuna mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10 na wengine wako ndani zaidi ya miaka 30?
Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisrael π πNibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.
Sasa hapo kuna tofauti gani na alicho sema mtoa post?
Tuliaminishwa kwenye makaratasi Israel ni noma kijeshi.Wawaokoe mateka wao si wako ndani ya gaza, sasa msaada wa wapalestina wa nn tena , kwani majasusi wao wameenda wapi?
Basi kama wanasaidia kuficha siri za Hamas kumbe ni sahihi IDF inavyowabonda wote.Hakuna mtu wa Gaza atakayedanganyika na ahadu za yahudi akatoa siri za Hamas.
MAMBO MAGUMU KWA YUPI?Wanaukumbi.