Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Maneno ya wahenga, waweza tolewa NISHAI/SHOW na katoto kadogo kabisa kama unaleta undava, ujinga, uonevu, ubabe.
Lesson to all...
Taifa teule my ass...
 
Palestine ni Hamas.
Asante mkuu . Ndo maana Netanyahu anawatwanga Wapalestina
images (29).jpeg
wote si watoto, wanawake na wazee maana anajua mtoto wa nyoka ni nyoka 😂😂
 
Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au [emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " [emoji23][emoji23][emoji23]
Nibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.
Sasa hapo kuna tofauti gani na alicho sema mtoa post?
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
The Zionist state of Israel is committing genocide.
 
Wewe kusaidia Mimi kupata ndugu zangu waliotekwa ni hiari Yako . Lakini Mimi kuamua kuingia vitani Ili kuwakomboa mateka wangu nisikusikie unalalamika na kulialia kama mbwa😂😂
Mbona huko Israel kuna mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10 na wengine wako ndani zaidi ya miaka 30?
 
Nibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.
Sasa hapo kuna tofauti gani na alicho sema mtoa post?
Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisrael 😅😅
 
Wawaokoe mateka wao si wako ndani ya gaza, sasa msaada wa wapalestina wa nn tena , kwani majasusi wao wameenda wapi?
Tuliaminishwa kwenye makaratasi Israel ni noma kijeshi.
20230604_005828.jpg
 
Hakuna mtu wa Gaza atakayedanganyika na ahadu za yahudi akatoa siri za Hamas.
Basi kama wanasaidia kuficha siri za Hamas kumbe ni sahihi IDF inavyowabonda wote.
 
Mkuu huu leo tena 😂😂😂😂 huu ni UZI WA NGAPI UKIFARIJI KUHUSU KICHAPO KINACHOENDELEA GAZA.......SI WALISEMA WATAIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA.
😂😂😂 MBONA WANAOMBA CEASE FIRE BAADA YA KICHAPO KUWAKOLEA.
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
MAMBO MAGUMU KWA YUPI?
YULE ANAEOMBA CEASE FIRE AU YULE ANAETOA KICHAPO.?
MM NAKUSHAURI PROPAGANDA HAZISAIDII SABABU TUMEZIZOEA TOKA 1967.
 
Back
Top Bottom