Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
akili yako ndogo kuelewa hiyo kauli , yaan ili usiguswe na dozi bas toa msaada la sivyo , wote wana haki ya kufa
Kaomba msaada wapi?kasema wasalimishe mateka na watakaobaki ni kifo kinawahusu,Yaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.
Kwa hiyo alikuwa sahihi?Tafuta sababu ya mjerumani kuuwa wayahudi. Very open reason.
Yaani enzi hizi watu wapuuzi mngekua mnauliwa ningekua jabali kma hitler. At this age vitu vidogo vidogo hvi huvifahamu ni kuzika tu.
Huyu Gantz kweli akili yake imekufa ganziWanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Na Mimi nimefarijikaπ Mheshimiwa Ritz kitambo sana Mkuu
Alikua sahihi kwa mipango yake na ilimsaidia. Kufanya vile ni sawa nawalichofanya dunia kwa wa russia. Ile ni propaganda ya kuchukua hela zao na kuwafanya wawe week. Au hujui undani wa historia ulisoma juu juu nazism na fascismKwa hiyo alikuwa sahihi?
Wametekwa na Hamas kwa hiyo unataka watanzania tuipongeze Hamas kwa kuteka watanzania wenzetu?Kwahiyo we unaona watanzania ndo binadamu wanaostahili kuishi Ila wengine la! Mbona mawazo yako yamekaa kibaguzi Kama ya makaburu.
Mkuu tumezoea propaganda since 1967
Mkuu unanipangia pa kumpiga adui yangu aliyeua raia wangu??Kama kila jeshi lingekuwa linafanya linavyo taka basi kusingekuwepo Sheria za vita na wala kusingekuwa na mashitaka ya uharifu wa kivita.
Marekani hakujiondoa bali alikimbia baada ya kupata hasara ya maelfu ya wanajeshi wake kuawa na maelfu ya vifaa vyake vya kijeshi kuharibiwa,na vita ya Vietnam ni vita iliyo ipa hasara kubwa tangu kuhasisiwa kwa taifa hilo.
Kwahiyo Urusi akitangaza kujiondoa Ukraine na majeshi ya Ukraine yateka tena eneo lote la Ukraine utasema Urusi hajashindwa vita bali kajiondoa?ππππππ
Kwa hivyo hiyo habari ni propaganda za wazayuni ?Mkuu tumezoea propaganda since 1967
Vita vina sheria au hujui ??Mkuu unanipangia pa kumpiga adui yangu aliyeua raia wangu??
Vita haina macho mkuu
Maralia kashindwa kutafsiri ujumbe wa waziri kwa sababu ya udini na chuki.Kwa hivyo hiyo habari ni propaganda za wazayuni ?
Wakifanya vita waarabu hakuna sheria ila wakifanya vita wayahudi ndio kuna sheria
Hujasoma kilichoandikwa hapo juu ndio ukaja na maneno hayoWakifanya vita waarabu hakuna sheria ila wakifanya vita wayahudi ndio kuna sheria
Kwani alisema anatafsiri ?Maralia kashindwa kutafsiri ujumbe wa waziri kwa sababu ya udini na chuki.
Hv ameelewa alichokua anasema waziri
Walijua wakiingia gaza ndio wataokoa mateka wakati hayo maandaki yanatokea mpk misreWanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.