Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

akili yako ndogo kuelewa hiyo kauli , yaan ili usiguswe na dozi bas toa msaada la sivyo , wote wana haki ya kufa

Hata siku moja huwezi kuwa upande wa waislamu, wewe na mayahudi ni pete na kidole japo hawamkubali yesu wala ukristo wenu, mnajipendekeza
 
Yaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.
Kaomba msaada wapi?kasema wasalimishe mateka na watakaobaki ni kifo kinawahusu,
Kiujumla kifo kitawahusu maana wataendelea kushikilia mateka.
 
Tafuta sababu ya mjerumani kuuwa wayahudi. Very open reason.
Yaani enzi hizi watu wapuuzi mngekua mnauliwa ningekua jabali kma hitler. At this age vitu vidogo vidogo hvi huvifahamu ni kuzika tu.
Kwa hiyo alikuwa sahihi?
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Huyu Gantz kweli akili yake imekufa ganzi
Majeshi yake yamewauwa Wana Gaza takriban elfu kumi wakiwemo watoto wachanga, wamelipua magari ya wagonjwa, hospitali, makanisa, misikiti, wamewaua wanahabari na madaktari --- sasa eti anawaomba msaada PUMBAF MKUBWA
By the way, Hamas imetangaza kuwa wako tayari kuwaachilia wafungwa wote (wakiwemo Watanzania) kwa sharti kuwa na Israel iwaachie wafungwa Wapalestina - Israhell wamekataa
HUU NDIO UKWELI KUHUSU WAZAYUNI
 
Alikua sahihi kwa mipango yake na ilimsaidia. Kufanya vile ni sawa nawalichofanya dunia kwa wa russia. Ile ni propaganda ya kuchukua hela zao na kuwafanya wawe week. Au hujui undani wa historia ulisoma juu juu nazism na fascism
 
Kwahiyo we unaona watanzania ndo binadamu wanaostahili kuishi Ila wengine la! Mbona mawazo yako yamekaa kibaguzi Kama ya makaburu.
Wametekwa na Hamas kwa hiyo unataka watanzania tuipongeze Hamas kwa kuteka watanzania wenzetu?

Kwa hiyo uhai wao hao watanzania wenzetu sio muhimu kwa hiyo unatoa ruhusa kuwa ni sawa Hamas waendelee kuwashikilia watanzania wenzetu na ikiwezekana wawaue au?
 
Kama kila jeshi lingekuwa linafanya linavyo taka basi kusingekuwepo Sheria za vita na wala kusingekuwa na mashitaka ya uharifu wa kivita.

Marekani hakujiondoa bali alikimbia baada ya kupata hasara ya maelfu ya wanajeshi wake kuawa na maelfu ya vifaa vyake vya kijeshi kuharibiwa,na vita ya Vietnam ni vita iliyo ipa hasara kubwa tangu kuhasisiwa kwa taifa hilo.

Kwahiyo Urusi akitangaza kujiondoa Ukraine na majeshi ya Ukraine yateka tena eneo lote la Ukraine utasema Urusi hajashindwa vita bali kajiondoa?😀😀😀😀😀😀
Mkuu unanipangia pa kumpiga adui yangu aliyeua raia wangu??
Vita haina macho mkuu
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Walijua wakiingia gaza ndio wataokoa mateka wakati hayo maandaki yanatokea mpk misre
 
Back
Top Bottom