Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE.

Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti"

Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja kuchanganyikiwa hawakuzoea kukutana na haya waliokutana nayo Gaza pamoja na kupewa msaada na Marekani na Ulaya.

Haya ni maneno ya mwanadamu aliyeshindwa.

Hamas inaungwa mkono na mataifa mengi makubwa kama Iran, Uturuki, China, Mexico, Guba, na mengine kwa hiyo anataka hawa wote wafe.
===============
BREAKING: ISRAELI DEFENSE MINISTER SAYS ALL PEOPLE WHO SUPPORT HAMAS SHOULD ALL DIE

He said that all Palestinian Hamas supporters around the world "should all die" even those without weapons "wearing suits".

Nadhani mlengwa ni Iran na washirika wake! Siku za hivi karibuni Israeli ilishatishia kuifuta Iran kwenye uso wa dunia!
 
Mkuu, upewe mabomu uende Gaza ukawasaidie Hamas?
 
Nadhani mlengwa ni Iran na washirika wake! Siku za hivi karibuni Israeli ilishatishia kuifuta Iran kwenye uso wa dunia!
Kuifuta Iran [emoji1130] kwa israhell isahau labda waungane na mabwana zake wote wa ulaya amerka nk
Na hvyo mpaka Iran [emoji1130] ikifutika basi hao wafutaji watakua taaban
Na kwa mbungi iliopo kwasasa duniani sioni israhell na shost zake wakiungana kuitwanga Iran [emoji1130]
 
Udhani kitu gani wewe nyie watu mna shobo kweli na,, wakati hapo ametamka mkarimani wote wanayoitetea Hamas wanatakiwa wafe,,, alafu wewe unasema mlengwa Iran,, kwani yeye ndivyo alisema hivyo au wewe ndo msemaji wake,,
 
Kuifuta Iran [emoji1130] kwa israhell isahau labda waungane na mabwana zake wote wa ulaya amerka nk
Na hvyo mpaka Iran [emoji1130] ikifutika basi hao wafutaji watakua taaban
Na kwa mbungi iliopo kwasasa duniani sioni israhell na shost zake wakiungana kuitwanga Iran [emoji1130]
Hamas tu wanamgaragaza na silaha zake za kuungaunga ije kuwa Iran,, anatoa huyo yahudi
 
Nadhani mlengwa ni Iran na washirika wake! Siku za hivi karibuni Israeli ilishatishia kuifuta Iran kwenye uso wa dunia!
Sio issue ya kudhani, hao vichaa wa Israel lengo lao ni kuua raia wote wa Gaza, na hawafichi kwa kusema

Hapo wameenda mbali kwa kutaka hata watu wanao protest kwa amani kusitishwa kwa mauaji ya wapalestina nao wauawawe
 
Wa israhell nawaungaji mkono wao wengi wao hawajielewi
 
Nadhani mlengwa ni Iran na washirika wake! Siku za hivi karibuni Israeli ilishatishia kuifuta Iran kwenye uso wa dunia!
Itaifuta itaweza au wanajifurahisha tu..hwa qanaohenyeshwa na Hamas..laiti kama Hamas wangekuwa na Air defence systems pangechimbika washukuru sana aise
 
Hata Mimi naunga mkono wote lazima wafe, huwezinkuumga mkono magaidi halafu uwe hai hapa duniani
 
Back
Top Bottom