Waziri wa Ulinzi: Waliotaka kufanya vurugu nchini, Mataifa yao hayajawasapoti

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao akitanabaisha kuwa nchi hizo zimekuwa mstari wa mbele kuitetea Tanzania.

Dkt. Stergomena ameyasema hayo Mei 22, 2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo na mafanikio ya serikali ya awamu ya sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Dkt. Stergomena amesema kuwa watu walitegemea kuona nchi za watu waliojipenyeza nchini zikiwaunga mkono watu wao lakini nchi hizo hazikufanya hivyo kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia.
 
View attachment 3342486
Huo ni ushirikiano wa majambazi kwa majambazi.
 
Back
Top Bottom