Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Kelele zilikua nyingi nikadhani watafanya full scale attack kumbe ni minor targets tu!! Ila tuombee amani hakuna faida yoyote ya hizi vita, wanaoteseka ni raia wa kawaida kabisa.
 
Kabisa sasa why ayatollah ndio aonekane anajificha kwani anayejua Benjamin anaishi wapi nyakati hizi ni nani
Ok. Mjomba; kimenuka huko uck wa kuamkia leo Jumamosi 26 Oct 2024. Ngoja nikashangae-shangae.
 
Sasa ni official, Ayatollah anaweza kufikiwa
Hata Netanyahu alifikiwa na watoto wadogo Hezbulah wasiokuwa na jeshi wala silaha za maana. Bahati yake alikuwa amekimbilia kushusha gogo kwenye choo cha jirani yake.

Isingekuwa tumbo la kuhara lililomkimbiza kwa jirani kushusha mzigo saa hizi tungekuwa tumeshamsahau 😂😂😂
 
Back
Top Bottom