Kelele zilikua nyingi nikadhani watafanya full scale attack kumbe ni minor targets tu!! Ila tuombee amani hakuna faida yoyote ya hizi vita, wanaoteseka ni raia wa kawaida kabisa.
Hata Netanyahu alifikiwa na watoto wadogo Hezbulah wasiokuwa na jeshi wala silaha za maana. Bahati yake alikuwa amekimbilia kushusha gogo kwenye choo cha jirani yake.
Isingekuwa tumbo la kuhara lililomkimbiza kwa jirani kushusha mzigo saa hizi tungekuwa tumeshamsahau πππ