TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
Ni moja ya Mawaziri waliokuwa na Mchango wa Kipekee tofauti na baadhi ya wengine! Hakuwa chaguo la kwanza la mkuu, ila ilibidi kwani hapakuwa na namna!
R.I.P KIGODA!
 
I.L.W.R. Kwa heri comrade kinana, Mmoja kati ya wanasiasa watulivu kabisa nchini. Mungu amekupenda zaidi.
 
Back
Top Bottom