TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

Dr,abdallah kigoda,kafariki dunia leo hospitalini appollo nchini india.chanzo itv
 
U
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.

Apumzike kwa amani

Tunashukuru kwa taarifa ya mpendwa wetu Mungu akubariki sana.
 
Rip.vp muheshimiwa alikuwa mgombea.?wenye tarifa watujuze.
 
Alikuwa amelazwa katika hospitali ya Apollo India.
Amefariki leo saa kumi jioni!
Source ITV saa mbili usiku
 
RIP mh. Umetangulia tu. Tuko nyuma twaja hata kama twajiona tu wazima kwa sasa!
 
Pumzika Kwa Amani Mbunge Wangu Wa Handeni.

Msalimie Dk Mohamedi Mhita, Mwambie Mmeaiacha Handeni Ikiwa Katika Shida Kubwa Ya Maji.
 
Back
Top Bottom