TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

Mmmmh kuna la kujifunza hapa, inamaana wao hawatibiwi Mwananyamala wala Muhimbili.
 
Kazi ya Mungu haina makosa.......jina la Bwana lihimidiwe.
 
hiki kipindi ni cha mihemko sana,ni wiki 2 za kupanick na kuweweseka kwa baadhi humu jf na kukosana sana tu,,,,,kila sehemu siasa inaingia,,,,
 
Kwa hiyo Edo siyo mgonjwa au unataka naye afe leo ndiyo ukubali mgonjwa? Sasa Edo kutokufa leo au kesho siyo kigezo cha afya njema kiasi cha kuhalalisha kwenda ikulu. Kwa mujibu wa ugonjwa anaougua wa parkinsonism hawezi kupewa madaraka mazito zaidi ya kuongoza familia yake. Usifanye ikulu ni mahala pa majaribio

duni haji si yupo jamani
 
r.i.p kigoda....


jamanii mkuu wa magwanda anaendeleaje?
 
Serikali walikuwa wana ona aibu mawaziri wawili kufia India wakati tuna hospital zetu hawataki kuziboresha aibu sana
Basi walisahau unaweza kudanganya vitu vyote lakini si wakati.
wakati ukifika ukilazimisha basi hilo unalolilazimisha linakulipukia mkononi.
Ni vyema uongozi uanokuja uone umuhimu wa kuboresha hospitali zetu
walau moja tuondoe aibu hii,angalia Mandera alifia nchini kwake
lakini kwetu sisi baba wa taifa akafia ugenini na wengine sasa unaona wanafuata
Tuombe Mungu atuondolee aibu hii.
 
Naikumbuka hoteli yake nililala pale Handeni (Bwawani Hotel)
 
Apumzike kwa Amani mheshimiwa. Utakumbukwa na familia yako,jimbo lako na hata nje na ndani ya taifa kwa ujumla.
 
Poleni familia, ndugu, watu wa handeni, rafiki, wana ccm, na wote wansoguswa na msiba huu. RIP Dr.
 
R.I.P Abdalla. Mungu kakuepusha kuona anguko la CCM
 
mmh mwaka huu kaz ipo. Vp nayeye alimsema vibaya lowasa?

Hakuwahi kumsema vibaya Rais wetu Lowassa,Mungu amrehemu Kigoda! Huu mwaka ni noma,Celina kombani,Mtikila,kapteni komba,kigoda...Loading.....................!
 
Back
Top Bottom