Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
source Itv
Serikali walikuwa wana ona aibu mawaziri wawili kufia India wakati tuna hospital zetu hawataki kuziboresha aibu sana
hii ni kwa mujibu wa taarifa ya bunge; waziri wa viwanda na biashara, abdalah kigoda amefariki leo nchini india alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
Apumzike kwa amani
RIP! So sad, .. hivi nini hiki?
Punguzeni siasa kwenye misiba,hapa duniani wote tutakufa hakuna haja ya kuandika hayo maneno