TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

Mwanae apashe jaramba kuchukua nafasi ya baba ake .....R.I.P Kigoda
 
Salamu za rambirambi kwa familia yake na wote waliofikwa msiba...
 
Mpaka 25 ifike tutakua tumeahirisha Uchaguzi WA wabunge majimbo yote. Mungu imetosha plssss tuhurumie
 
alichokiwezea sana kipindi cha uhai wake ni kuuza mashirika na viwanda vya umma apumzishwe anakostahili.
 
Hatujamsikia akimsema RsAISi wETu LOWASSA. AIBU KWA SERIKALI TU EANAZIDI KUUMBUKA KUPELEKA VIONGOZI HOSPITAL NNJE WAKATI.HUKU HATUNA HATA ASPRIN. A PUMPUMZIKE KWA AMANI.
 
Huyu mzee alifariki kitambo watu wakasema hapa serikali ikakanusha hatimaye limetimia..wazima wanakufa yule waliyekuwa wakimsema mgonjwa anachanja mbuga mpaka barabala zinadekiwa!

Kufa ni mipango yake Allah mwenyewe anajuwa lini utaondoka. Je huyo kigoda aliwahi kumsema huyo unayemzungumzia hapa.? Tangulia mheshimiwa kigoda tupo nyuma yako tutakutana peponi Insha'Allah.
 
....RIP waziri...siamini kama kafa leo...possibly kafa siku chache nyuma...maana ilisemwa humu wakapinga...anyway...hili ni pigo kubwa kwa ccm....maana huyu ni waziri wa pili kufia india ndani ya muda mfupi...

....hii itasaidia kurudhisha nyuma imani kwa hospitali zetu TZ...maana hawa wakuu wakiugua huwa wanakimbilia india...na hospitali zetu huwa zinaonekana feki....sasa wajue kuwa hata kukimbilia india mara nyingine hakusaidii sana....haswa pale mgonjwa anapokuwa terminally ill....na mbaya zaidi safari hizi huishia kuongeza mzigo kwa wanaowapeleka wakuu hawa huko india...

...Kigoda amekuwa waziri kwa mda mrefu sana... na ameshiriki kubinafsisha viwanda vyetu ...jambo linalowapa shida sana hawa ccm kwenye kampeni zao sasa....is this karma!!....bado mgonjwa wao wanaemkejeli anadunda tu...
 
Saa ivi ni kiukweli ukweli au baadaye watakanusha? Go to rest in peace, maana ulikuwa gamba mstaarabu.
 
Hivi,baraza la mawaziri linavunjwa lini?
R.I.P waziri
 
poleni wafiwa wote .
Ukweli ukifichwa hata muda mrefu sana muda ukifika utajulikana .
 
Utukufu Na Heshima Ni Kwake Mungu Alie Tuumba, Mungu Amjalie Uzima Wa Milele Amina
 
12141629_913031112066964_3137294480670451610_n.jpg

Kigodah.jpg
 
Back
Top Bottom