TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
pole kwa wafiwa... hasa familia yake
 
Ni moja ya Mawaziri waliokuwa na Mchango wa Kipekee tofauti na baadhi ya wengine! Hakuwa chaguo la kwanza la mkuu, ila ilibidi kwani hapakuwa na namna!
R.I.P KIGODA!
 
Naomba kuulizia aliwania ubunge.?
 
I.L.W.R. Kwa heri comrade kinana, Mmoja kati ya wanasiasa watulivu kabisa nchini. Mungu amekupenda zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…