....RIP waziri...siamini kama kafa leo...possibly kafa siku chache nyuma...maana ilisemwa humu wakapinga...anyway...hili ni pigo kubwa kwa ccm....maana huyu ni waziri wa pili kufia india ndani ya muda mfupi...
....hii itasaidia kurudhisha nyuma imani kwa hospitali zetu TZ...maana hawa wakuu wakiugua huwa wanakimbilia india...na hospitali zetu huwa zinaonekana feki....sasa wajue kuwa hata kukimbilia india mara nyingine hakusaidii sana....haswa pale mgonjwa anapokuwa terminally ill....na mbaya zaidi safari hizi huishia kuongeza mzigo kwa wanaowapeleka wakuu hawa huko india...
...Kigoda amekuwa waziri kwa mda mrefu sana... na ameshiriki kubinafsisha viwanda vyetu ...jambo linalowapa shida sana hawa ccm kwenye kampeni zao sasa....is this karma!!....bado mgonjwa wao wanaemkejeli anadunda tu...