TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

The old man was not in his best mental faculties alipooa ile totoz...

I knew the old man was on the sky...

I feel sorry for his passing,until we see each other again in the new life
huyu ndie alieoa binti juzi kati hapa?
 
Namkumbuka mzee wakati naingia mlimani alikuwa waziri wa sayansi na elimu ya juu. Alibanwa na zitto zitto akihudumu kama waziri mkuu wa UDSA alimuhenyesha sana juu ya sakata la wanafunzi 203 waliokosa uzamini wakitokea department ya sociology. Mwisho wa siku walipata mkopo. Hahahah zitto bwana
 
Aliwahi kuwa Balozi wa Japan au aliwahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan?

Mtoa mada naomba unisahihishe?
 
Mke mpya amemuachia nani?
 
Huyu si kaoa mrembo juzi tu? Watu walimsifia kweli ila mimi nikasema kuoa na uzee ule tena bint mrembo mwenye makalio makubwa ni kama kusogeza tatizo karibu 😊😊

Hivi kuna hata mwezi tangu avute hii chombo?
View attachment 1653920
juzi mlipoleta uzi kwamba mzee kaoa toto dogo nikajua tu ameoa Mchaga leo ndio nimeamini alioa mmachame.

Ameshindwa kjifunza kwa R.Mengi.
Rest in Peace mzee hakika umeumaliza mwendo.πŸ™πŸ™πŸ™
 
tutende mema maana hatujui muda na saa ya kufa, usimfanyie binaadamu mwenzio mambo yasiyo faaa. tuishi kwa upendo majumbani, makazini n.k
mwanadamu ukiwa unahema hewa ya bure na jeuri ya pesa na mamlaka huwezi kuyakumbuka haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…