Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayo. Ila mazuri yake ndio mengi. Alinselema mpaka 2025.
Una maanisha huyuhuyu mwanadiplomasia "nguli" na "jasusi" wa hali ya juu wa makamanda wa UFIPA?Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Acha wenge. ..watu wanauwawa nakutupwa kwenye fukwe huku maiti zao zikiwa ndani ya viroba. ...Hayo Mazuri anayatoa wapi. ..... Mbona aliuza nyumba za NHC na pesa akazila. ... vipi kuhusu trillion 1.5 ambayo mpaka sasa ni kitendawili kikubwa haijulikani ilipo kwenda. ...?
Tena nilisikia 2.4 trillion na sio 1.5 [emoji24][emoji24][emoji24]
Kwahiyo huko CCM kugombea ni sintofahamu? Na utovu wa nidhamu nadhani na "matusi" pia!Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Wanasema alimuahidi Mwami atagombea wazalendo by MwigambaNasubiri maoni ya Chadema kwenye hili maana linamgusa mgombea wao.
Kwani alimkosea Nini huyo Mkuu wa kaya?Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Kwani kamjaribu kivipi?Hii inaitwa kuchamba kwingi mwishowe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu alishasema sijaribiwi yeye hasikiii. Sasa ndo haya tunayaona yanamtokea puani.
Msipende kushindana jamani na aliyeshika mpini, mtaumiaaaaa!!!
Alikuwa Canada kuangalia share zao za Acacia, ambazo walikuwa wanapiga kupitia makinikia. Hizo share hawataki kuziuza kwa kampuni mama, pamoja na kampuni mama kuwabembeleza wawauziye.Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Kijana mdogo unapiga ramli karne hii.....nyambafu.Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Utaenda naye peke yako; shauri yako aisee.Twende na Membe 2020
It is So Easy to Be a Solder When their is No War😁Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Kwa hivyo angekaa kimya hizo tuhuma za rushwa zisingeibuliwa siyo?Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Imekaa kinaa sana hiiKuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
Vijana wa BM mnamjaza upepo mzee wa watu ila yeye binafsi anafahamu kwamba hana uwezo wowote mbele ya JeipiemuHamna kitu kaa ichoo
M'mebadili gia tayari !?Twende na Membe 2020