Tetesi: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje anahaha kuonana na Mkulu ili wayamalize

Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.

Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.

Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.

Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
What goes around comes around.
 
Wayamalize kwa kumpisha BM akimbize kijiti na kurejesha stability ya mabenki na kulipa faida za wateja kama ilivyokubaliwa au?

Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.

Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.

Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.

Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
 
Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.

Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.

Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.

Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
received_413700832794016.jpeg
FB_IMG_1566715368166.jpg
20190804_090340.jpg
 
Back
Top Bottom