Tetesi: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje anahaha kuonana na Mkulu ili wayamalize

Acha wenge. ..watu wanauwawa nakutupwa kwenye fukwe huku maiti zao zikiwa ndani ya viroba. ...Hayo Mazuri anayatoa wapi. ..... Mbona aliuza nyumba za NHC na pesa akazila. ... vipi kuhusu trillion 1.5 ambayo mpaka sasa ni kitendawili kikubwa haijulikani ilipo kwenda. ...?
Anayo. Ila mazuri yake ndio mengi. Alinselema mpaka 2025.
 
Una maanisha huyuhuyu mwanadiplomasia "nguli" na "jasusi" wa hali ya juu wa makamanda wa UFIPA?
 

Tena nilisikia 2.4 trillion na sio 1.5 😭😭😭
 
Kwahiyo huko CCM kugombea ni sintofahamu? Na utovu wa nidhamu nadhani na "matusi" pia!

Hii ni karne nyingine jamaani barbarisms iliishaga karne nyingi zilizopita sijui kama think tanks wa CCM wanalijua hilo na wengine ni mapropesa!!!!
 
Kwani alimkosea Nini huyo Mkuu wa kaya?
 
Hii inaitwa kuchamba kwingi mwishowe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu alishasema sijaribiwi yeye hasikiii. Sasa ndo haya tunayaona yanamtokea puani.

Msipende kushindana jamani na aliyeshika mpini, mtaumiaaaaa!!!
Kwani kamjaribu kivipi?
 
Alikuwa Canada kuangalia share zao za Acacia, ambazo walikuwa wanapiga kupitia makinikia. Hizo share hawataki kuziuza kwa kampuni mama, pamoja na kampuni mama kuwabembeleza wawauziye.
 
Kijana mdogo unapiga ramli karne hii.....nyambafu.
 
It is So Easy to Be a Solder When their is No War😁
 
Kwa hivyo angekaa kimya hizo tuhuma za rushwa zisingeibuliwa siyo?

Tuhuma ni jitihada za kumdhibiti siyo?
 
Imekaa kinaa sana hii
 
Kama Rostam na Gwajima walimtembelea Rais wetu ikulu kumpongeza na kumpa moyo,sitoshanga kumuona BM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…