Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.

Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali iliyopelekea meli hiyo kutaka kuua wananchi kwa kuzama huko Kyela.

Chanzo: ITV habari
 
Mnafiki...walikuwaa wanasifia vibovu vingapi? Kuna lipi la ajabu kwa mwendazake kununua vibovu? Rejea MV Bagamoyo, rejea terrible teen. Kwa Marehemu kutaja udhaifu lilikuwa kosa. Rejea takwimu za uongo za kiserikali, taarifa za uongo n.k
 
Hawa Watu Waliopewa Dhamana Mbona Wana Kigugumizi Kwenye Maamuzi?? Wamepatwa na nini?

Hizi Degree, Masters, PhD Ni Mzigo Kwa Baadhi
 
Mnafiki...walikuwaa wanasifia vibovu vingapi? Kuna lipi la ajabu kwa mwendazake kununua vibovu? Rejea MV Bagamoyo, rejea terrible teen. Kwa Marehemu kutaja udhaifu lilikuwa kosa. Rejea takwimu za uongo za kiserikali, taarifa za uongo n.k
Kisu Kimegonga Mfupa!!! 😣😏😑😐😐
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Wazazi wasiwe wanatafuta watoto wakiwa wamelewa, matokeo yake ndio viaz kama hv vinazaliwa

Unahoji legacy ya Lissu as if ww ni mbwa sio mtu, legacy yako iko wapi??
 
Haya yote yanatokea kwasababu kuna mtu alikua anataka kusikia mazuri tu bila kutoa uhuru kwa wahusika kueleza changamoto mbalimbali mahali pao pa kazi.Na woga huo ulikua baada ya wahusika kudhani wakisema aidha wataonekana sio wazalendo au wapiga dili.hali hiyo ilisababisha mambo mengi sana kufukiwa bila sababu.sasa ukishakua na taifa la kusifu,kusifia na kuabudu mtu mmoja mambo kama hayo hayawezi kukosekana na ukifwatilia vizuri unaweza kukuta yako mengi zaidi yaliyofichwa.
 
Sasa walionunua je, wamefanywa nn ?
Kwani MV Bagamoyo si imenunuliwa mbovu pia, mkabanwa Jiwe akaigawa jeshini then eti vitu vya jeshi havihojiwi...

Majizi wakubwa hakuna kutetea wanyonge wala their masaburi...

Uhuni tu, spea nyingine Kakoko anakwenda kuchonga Gerezani badala ya kununua kwa manufacturers huku akiweka bei za dukani
 
Hii habari niliona Star Tv kama siku tano zilizopita inakuwaje ITV wameileta leo?
 
Mwita hayupo siriaz.
Yani alitaka wamuambie Kiongozi wa malaika amenunua meli mbovu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…