johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.
Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali iliyopelekea meli hiyo kutaka kuua wananchi kwa kuzama huko Kyela.
Chanzo: ITV habari
Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali iliyopelekea meli hiyo kutaka kuua wananchi kwa kuzama huko Kyela.
Chanzo: ITV habari