King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wamo humu watakujibu bwashee!
Wapotezaji,/wasiojulikaba enzo hizo.Apotezwe na nani?
Tighten up...najua MATAGA watapinga na kufurumusha MATUSI.
Chadema hata Dr Slaa walimwita ni msaliti eti kwa sababu alimuuliza Mbowe kwamba " Lowassa ni asset au liability?"Tighten up.
Sikutegemea na wewe, of all the people, udumbukie kwenye cesspool ya maneno ya kashfa kama "MATAGA" dhidi ya tunaotetea legacy ya Magufuli na hapo hapo kujifanya hupendi matusi.
Awamu ya JPM, au hii ya sasa, inaweza ikakosoleka na watu responsible and mature bila dhihaka, kejeli, tafsida na kashfa.
MATAGA, SUKUMA GANG, MA-CCM, MWENDAZAKE ni dhana ambazo ziko chini yako.
Please get out of the muck. Jokakuu to a legion of your readers has garnered reknown as a voice of reason in the annals of these forums, do not let us down.
Hivi utaratibu una ruusu mawaziri na wakuu wa mikoa kusimamisha watumishi wa umma. Huo si wajibu wa wakurugenzi, makatibu tawala na makatibu wakuu? Wale wanaoitwa accounting officers.Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.
Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali iliyopelekea meli hiyo kutaka kuua wananchi kwa kuzama huko Kyela.
Chanzo: ITV habari
Mwendazake si neno linalokubalika?Tighten up.
Sikutegemea na wewe, of all the people, udumbukie kwenye cesspool ya maneno ya kashfa kama "MATAGA" dhidi ya tunaotetea legacy ya Magufuli na hapo hapo kujifanya hupendi matusi.
Awamu ya JPM, au hii ya sasa, inaweza ikakosoleka na watu responsible and mature bila dhihaka, kejeli, tafsida na kashfa.
MATAGA, SUKUMA GANG, MA-CCM, MWENDAZAKE ni dhana ambazo ziko chini yako.
Please get out of the muck. Jokakuu to a legion of your readers has garnered reknown as a voice of reason in the annals of these forums, do not let us down.
Tighten up.

Hapana.Mwendazake si neno linalokubalika?
Amandla...
Hapana.
Huwezi kumsikia Rais Suluhu, kwa mfano, anamwita hayati JPM mwendazake. Neno hili halina kichwa wala miguu. Kwa nini awe mwendazake, kwani alijiua ?
MATAGA maana yake nini?
Nilipoona Jokakuu nae kadondosha bomu la MATAGA nikasema astakafullulilah, jamvi limetikisa, wako wapi kina Fundi Mchundo, the conscious of the forum, ili wamkeme ?
Hakuna wa kupinga kwani ndio ulikuwa ukweli...hao walimuogopa Jiwe
..hakuna mtumishi anaweza kusema chombo kilichonunuliwa / kutengenezwa na serikali ya Jiwe ni kibovu.
..najua MATAGA watapinga na kufurumusha MATUSI.
Mimi nilijua Mwendazake limepitishwa na Bakita litumike badala ya Hayati.Hapana.
Huwezi kumsikia Rais Suluhu, kwa mfano, anamwita hayati JPM mwendazake. Neno hili halina kichwa wala miguu. Kwa nini awe mwendazake, kwani alijiua ?
MATAGA maana yake nini?
Nilipoona Jokakuu nae kadondosha bomu la MATAGA nikasema astakafullulilah, jamvi limetikisa, wako wapi kina Fundi Mchundo, the conscious of the forum, ili wamkeme ?
Mwenda Zake limekuwa likitumiwa sana na jirani zetu. Hata alipofariki Daniel Arap Moi walimuita Mwenda Zake. Ni neno la heshima kuliko Marehemu. Hayati inasemekana kuwa tunalitumia sivyo kwa sababu maana yake halisi ni " aliye hai". Kwa sababu hiyo hukutukana uliposema Mwenda Zake...mataga maana yake ni " make Tz great again. "
..ni kundi ambalo lilijitambulisha kama watetezi nambari one wa utawala wa Jpm.
..sioni kwanini upate mshtuko baada ya kundi la mataga kutajwa hapa JF.
..kwa upande mwingine naheshimu maelekezo yako kwamba usingependa kuhusishwa na kundi hilo.
NB.
..hivi mwendazake maana yake ni nini?
..huu ni msamiati mpya kwangu. Nimeanza kuusikia baada ya Magufuli kufariki.
Kwa nini mwendazake lina heshima kuliko marehemu ?Mwenda Zake limekuwa likitumiwa sana na jirani zetu. Hata alipofariki Daniel Arap Moi walimuita Mwenda Zake. Ni neno la heshima kuliko Marehemu. Hayati inasemekana kuwa tunalitumia sivyo kwa sababu maana yake halisi ni " aliye hai". Kwa sababu hiyo hukutukana uliposema Mwenda Zake.
Amandla...
Kundi hilo lilijitambulisha wapi ?..mataga maana yake ni " make Tz great again. "
..ni kundi ambalo lilijitambulisha kama watetezi nambari one wa utawala wa Jpm.
Kundi hilo lilijitambulisha wapi ?
MATAGA ni kashfa kwa sababu hakuna mtu anaejinasibu hivyo kwa kujivunia, proudly.
Make America Great Again (MIGA) ambayo mmeiga (mnaotumia neno MATAGA) ni kauli mbiu ya waliojinasibu wazi wazi na kwa majivuno, proudly, wanatetea dhana za MIGA, kifupi siasa za Trump. Waliimba nyimbo za MIGA, walivaa kofia za MIGA, walijivunia u-MIGA.
Sisi tumekurupuka kuiga kutoka Marekani, ikaja kinyume nyume, imegeuka matusi. MATAGA inatumika kukashfu, derisively.
Nionyeshe mtu anaejiita yeye MATAGA!
Jamvi limetikisika, Jokakuu na Fundi Mchundo, kati ya nguzo za kiasi na ustaarabu kwenye mijadala ya mitandao ya kijamii, leo vinatetea kashfa zinazotumika na wanasiasa wasio na staha dhidi ya watetezi wa legacy ya Marehemu Magufuli.
Kwa nini mwendazake lina heshima kuliko marehemu ?
Na ni wapi umeona limetumika badala ya hayati au marehemu kwenye tamko au andishi rasmi ? Wapi umeona mwendazake Edward Sokoine au mwendazake Benjamin Mkapa?
Na Kenya wanakuaje kamusi ya Kiswahili kwa Mtanzania? Toka lini ?????
Hivi kwa nini Mtanzania anathamini mtu wa nje mpaka anatupa cha kwake jalalani? Hata Mkenya ??