Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

..najua MATAGA watapinga na kufurumusha MATUSI.
Tighten up.

Sikutegemea na wewe, of all the people, udumbukie kwenye cesspool ya maneno ya kashfa kama "MATAGA" dhidi ya tunaotetea legacy ya Magufuli na hapo hapo kujifanya hupendi matusi.

Awamu ya JPM, au hii ya sasa, inaweza ikakosoleka na watu responsible and mature bila dhihaka, kejeli, tafsida na kashfa.

MATAGA, SUKUMA GANG, MA-CCM, MWENDAZAKE ni dhana ambazo ziko chini yako.

Please get out of the muck. Jokakuu to a legion of your readers has garnered reknown as a voice of reason in the annals of these forums, do not let us down.
 
Chadema hata Dr Slaa walimwita ni msaliti eti kwa sababu alimuuliza Mbowe kwamba " Lowassa ni asset au liability?"

Swali hili lilijibiwa 2020 kwenye sanduku la kura.
 
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.

Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali iliyopelekea meli hiyo kutaka kuua wananchi kwa kuzama huko Kyela.

Chanzo: ITV habari
Hivi utaratibu una ruusu mawaziri na wakuu wa mikoa kusimamisha watumishi wa umma. Huo si wajibu wa wakurugenzi, makatibu tawala na makatibu wakuu? Wale wanaoitwa accounting officers.

Amandla...
 
Tighten up.

Sikutegemea na wewe, of all the people, udumbukie kwenye cesspool ya maneno ya kashfa kama "MATAGA" dhidi ya tunaotetea legacy ya Magufuli na hapo hapo kujifanya hupendi matusi.

Awamu ya JPM, au hii ya sasa, inaweza ikakosoleka na watu responsible and mature bila dhihaka, kejeli, tafsida na kashfa.

MATAGA, SUKUMA GANG, MA-CCM, MWENDAZAKE ni dhana ambazo ziko chini yako.

Please get out of the muck. Jokakuu to a legion of your readers has garnered reknown as a voice of reason in the annals of these forums, do not let us down.
Mwendazake si neno linalokubalika?

..asante ndugu yangu. nauheshimu sana ushauri wako.

..natumaini wewe ni mmoja wa wanaotaka kulinda mambo mema aliyoyafanya Magufuli, na yale yasiyo mema utajiweka mbali nayo.
 
Mwendazake si neno linalokubalika?

Amandla...
Hapana.

Huwezi kumsikia Rais Suluhu, kwa mfano, anamwita hayati JPM mwendazake. Neno hili halina kichwa wala miguu. Kwa nini awe mwendazake, kwani alijiua ?

MATAGA maana yake nini?

Nilipoona Jokakuu nae kadondosha bomu la MATAGA nikasema astakafullulilah, jamvi limetikisa, wako wapi kina Fundi Mchundo, the conscious of the forum, ili wamkeme ?
 
..mataga maana yake ni " make Tz great again. "

..ni kundi ambalo lilijitambulisha kama watetezi nambari one wa utawala wa Jpm.

..sioni kwanini upate mshtuko baada ya kundi la mataga kutajwa hapa JF.

..kwa upande mwingine naheshimu maelekezo yako kwamba usingependa kuhusishwa na kundi hilo.

NB.

..hivi mwendazake maana yake ni nini?

..huu ni msamiati mpya kwangu. Nimeanza kuusikia baada ya Magufuli kufariki.
 
..hao walimuogopa Jiwe

..hakuna mtumishi anaweza kusema chombo kilichonunuliwa / kutengenezwa na serikali ya Jiwe ni kibovu.

..najua MATAGA watapinga na kufurumusha MATUSI.
Hakuna wa kupinga kwani ndio ulikuwa ukweli.
 
Hapana.

Huwezi kumsikia Rais Suluhu, kwa mfano, anamwita hayati JPM mwendazake. Neno hili halina kichwa wala miguu. Kwa nini awe mwendazake, kwani alijiua ?

MATAGA maana yake nini?

Nilipoona Jokakuu nae kadondosha bomu la MATAGA nikasema astakafullulilah, jamvi limetikisa, wako wapi kina Fundi Mchundo, the conscious of the forum, ili wamkeme ?
Mimi nilijua Mwendazake limepitishwa na Bakita litumike badala ya Hayati.
MATAGA maana yake si Make Tanzania Great Again? Mimi sioni tusi kwa kweli. Kuitana Nyumbu n.k. ndio kunaleta ukakasi.

Amandla...
 
..mataga maana yake ni " make Tz great again. "

..ni kundi ambalo lilijitambulisha kama watetezi nambari one wa utawala wa Jpm.

..sioni kwanini upate mshtuko baada ya kundi la mataga kutajwa hapa JF.

..kwa upande mwingine naheshimu maelekezo yako kwamba usingependa kuhusishwa na kundi hilo.

NB.

..hivi mwendazake maana yake ni nini?

..huu ni msamiati mpya kwangu. Nimeanza kuusikia baada ya Magufuli kufariki.
Mwenda Zake limekuwa likitumiwa sana na jirani zetu. Hata alipofariki Daniel Arap Moi walimuita Mwenda Zake. Ni neno la heshima kuliko Marehemu. Hayati inasemekana kuwa tunalitumia sivyo kwa sababu maana yake halisi ni " aliye hai". Kwa sababu hiyo hukutukana uliposema Mwenda Zake.

Kwa nini mwendazake lina heshima kuliko marehemu ?

Na ni wapi umeona limetumika badala ya hayati au marehemu kwenye tamko au andishi rasmi ? Wapi umeona mwendazake Edward Sokoine au mwendazake Benjamin Mkapa?

Na Kenya wanakuaje kamusi ya Kiswahili kwa Mtanzania? Toka lini ?????

Hivi kwa nini Mtanzania anathamini mtu wa nje mpaka anatupa cha kwake jalalani? Hata Mkenya ??
 
..mataga maana yake ni " make Tz great again. "

..ni kundi ambalo lilijitambulisha kama watetezi nambari one wa utawala wa Jpm.
Kundi hilo lilijitambulisha wapi ?

MATAGA ni kashfa kwa sababu hakuna mtu anaejinasibu hivyo kwa kujivunia, proudly.

Make America Great Again (MIGA) ambayo mmeiga (mnaotumia neno MATAGA) ni kauli mbiu ya waliojinasibu wazi wazi na kwa majivuno, proudly, wanatetea dhana za MIGA, kifupi siasa za Trump. Waliimba nyimbo za MIGA, walivaa kofia za MIGA, walijivunia u-MIGA.

Sisi tumekurupuka kuiga kutoka Marekani, ikaja kinyume nyume, imegeuka matusi. MATAGA inatumika kukashfu, derisively.

Nionyeshe mtu anaejiita yeye MATAGA!

Jamvi limetikisika, Jokakuu na Fundi Mchundo, kati ya nguzo za kiasi na ustaarabu kwenye mijadala ya mitandao ya kijamii, leo vinatetea kashfa zinazotumika na wanasiasa wasio na staha dhidi ya watetezi wa legacy ya Marehemu Magufuli.
 
..Mataga ni vijana watetezi wa utawala wa Magufuli.

..Mimi naheshimu kwamba hutaki kuhusishwa na kundi hilo.

..Na sitaki kukudadisi kwanini hutaki kuhusishwa na vijana hao.
 
Kwa nini mwendazake lina heshima kuliko marehemu ?

Na ni wapi umeona limetumika badala ya hayati au marehemu kwenye tamko au andishi rasmi ? Wapi umeona mwendazake Edward Sokoine au mwendazake Benjamin Mkapa?

Na Kenya wanakuaje kamusi ya Kiswahili kwa Mtanzania? Toka lini ?????

Hivi kwa nini Mtanzania anathamini mtu wa nje mpaka anatupa cha kwake jalalani? Hata Mkenya ??

Mimi sio mtaalam wa lugha ya kiswahili. Nimesema Mwenda Zake lina heshima kwa sababu tu nimeanza kulisikia likitumika baada ya Mheshimiwa Rais kufariki. Sijawahi kusikia likitumika kabla yake na sikuhisi kama walilitumia kwa ajili ya kumkejeli. Hata hivyo ukienda kwenye kamusi, Mwenda Zake kwa kiingereza ni " the Departed".

Kama nilivyosema, sijawahi kusikia neno hili likitumika kwa mtu mwingine zaidi ya JPM. Lakini sishangai kwa sababu kila siku ninajifunza neno jipya la kiswahili.

Shida ya watanzania ni ile imani kuwa tuna hati miliki ya kiswahili. Sisi ni mabingwa wa colloquial kiswahili lakini wengi wetu inapokuja kwenye kile formal hatuoni ndani. Hii ndio imewafanya wakenya kuteka nafasi nyingi za ufundishaji wa kiswahili ugenini kuliko sisi. Aidha, tusisahau pia kuwa Lamu, Malindi na Mombasa ni sehemu ambako kiswahili kiliweka mizizi muda ule ule ambapo kiliweka mizizi hapa kwetu.

Hapa duniani hamna cha bure. Kama sisi wenyewe hatutaki kukiendeleza kiswahili basi tusilalamike soko likitawaliwa na wale ambao tunadhani ni inferior kwetu. Tunathamini sana tamaduni yetu lakini ni lazima tukubali mwenzetu akija akiuboresha. Badala ya kulalamika, tunatakiwa tufanye jitihada ya kuenzi na kukuza kiswahili. Hivi leo bongo, kila mtu anataka kuongea kiingereza na akiongea kiswahili anataka kuweka lahfudh ya kizungu. Na hata kiswahili chetu kimekuwa kibovu mno, mpaka mtu unasikia aibu kukisoma na kukisikia.Tusiwalaumu wakenya, kosa ni la kwetu wenyewe.

Amandla....
 
Kwa nini mwendazake lina heshima kuliko marehemu ?

Na ni wapi umeona limetumika badala ya hayati au marehemu kwenye tamko au andishi rasmi ? Wapi umeona mwendazake Edward Sokoine au mwendazake Benjamin Mkapa?

Na Kenya wanakuaje kamusi ya Kiswahili kwa Mtanzania? Toka lini ?????

Hivi kwa nini Mtanzania anathamini mtu wa nje mpaka anatupa cha kwake jalalani? Hata Mkenya ??

..kama Kiswahili kinazungumzwa ktk Afrika Mashariki nzima na eneo la maziwa makuu, basi usishangae lugha hiyo ikikopa misamiati mipya toka nchi mbalimbali ambako lugha imesambaa.
 
Wangesema wangetumbuliwa na kishindo cha serikali ya awamu hiyo...
 
Back
Top Bottom