Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.

Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu wanaobainika kujihusisha na vitendo hivyo hukamatwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, amesema wengi wa waliokamatwa katika operesheni hizo ni vijana kutoka Tanzania Bara na wengine kutoka nchi jirani ya Kenya, na mara nyingi hufanyiwa utaratibu wa kuwarejesha katika maeneo au nchi zao wanakotoka.
========
"Mheshimiwa mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kumjibu swala maswala yake ya nyongeza yenye kifungu A na B Dr. Mohamed kama ifuatavyo. Mheshimiwa mkakati tunao na mkakati ambao tuliokuwa nao kwanza kufanya operesen katika hayo maeneo ambayo yanaviashiria vya hiyo biashara ya ukahaba.

Nadhani katika nyakati mbalimbali wa jeshi letu la polisi kwa kushirikiana na idara maalum huwa nafanya operes na huwa inawakamata na kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo mkakati ambao uliokuwepo mheshimiwa mwenyekiti ni kufanya operation za mara kwa mara katika maeneo hayo ambayo yanafanywa biashara hiyo au yanadhaniwa kufanya biashara ya ukahama

. Lakini mazingira hasa ya mavazi ndio yale mazingira ambayo yanayotufanya tunamtuhumu mtu alafu tunakuwa tunamchukulia zile hatua za kisheria. ...wengi ambao tuliokuwa tukiwakamata katika operes zile wengi ni vijana kutoka Tanzania bara na wengine hata Kenya... mara nyingi watu kama wale huwa tunawafanyia utaratibu wa kuwarejesha kule wanakotoka

My take:

Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
 
Wanadai wanaharibu Tamaduni za za Zanzibar..

Wanapata changamoto kuwakamata kwani hawana Ofisi, lakini wanawatambua kwa Mavazi kwamba huyu ni Mtanganyika..

Kwamba Polisi wamekuwa wakifanya Operation.
View attachment 3605757
My take:

Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
Zamani ni kweli, wadada wanaojiuza Zanzibar, walikuwa ni kutoka Bara, lakini siku hizi, hata Wazanzibari wenyewe wamo, mimi ni shuhuda, wanaondoka majumbani mwao na hijab, wakifika kazini, hijab zinavuliwa, ndani wanakuwa wamevaa mavazi ya kazini, baada ya kazi, wanavaa tena hij zao, wanarudi makwao!.

Kufuatia kushamiri kwa biashara ya utalii, huwezi kuizuia biashara hii hivyo ushauri huu uzingatiwe Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
 
Zanzibar msilete za kuleta kukamata watu wetu, hata ninyi mna watu wenu huku, mtasababisha usumbufu wa watu wenu huku. Wakamateni tu ila msiwafunge, warudisheni wakiwa salama
 
Zamani ni kweli, wadada wanaojiuza Zanzibar, walikuwa ni kutoka Bara, lakini siku hizi, hata Wazanzibari wenyewe wamo, mimi ni shuhuda, wanaondoka majumbani mwao na hijab, wakifika kazini, hijab zinavuliwa, ndani wanakuwa wamevaa mavazi ya kazini, baada ya kazi, wanavaa tena hij zao, wanarudi makwao!.

Kufuatia kushamiri kwa biashara ya utalii, huwezi kuizuia biashara hii hivyo ushauri huu uzingatiwe Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
Kweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweli
 
Anyway tuwekeni wazi sas juu ya huu muunganiko jamani.maisha Magum watu wanatafuta ugali lakin Bado inakuw shida!?haya kwamfano hilo kundi la hao msemao wanajiuz waache hiyo Kazi wawe wezi,kipi ni Bora zaid?
 
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.

Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu wanaobainika kujihusisha na vitendo hivyo hukamatwa na kufikishwa mahakamani.
========
"Mheshimiwa mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kumjibu swala maswala yake ya nyongeza yenye kifungu A na B Dr. Mohamed kama ifuatavyo. Mheshimiwa mkakati tunao na mkakati ambao tuliokuwa nao kwanza kufanya operesen katika hayo maeneo ambayo yanaviashiria vya hiyo biashara ya ukahaba.

Nadhani katika nyakati mbalimbali wa jeshi letu la polisi kwa kushirikiana na idara maalum huwa nafanya operes na huwa inawakamata na kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo mkakati ambao uliokuwepo mheshimiwa mwenyekiti ni kufanya operation za mara kwa mara katika maeneo hayo ambayo yanafanywa biashara hiyo au yanadhaniwa kufanya biashara ya ukahama

View attachment 3605757
My take:

Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
Kama war on illegal drugs ilivyoshindwa, hili nalo litashindwa. Unless you bring the demand down to zero, huwezi kushinda hivi vita!
 
Kweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweli
Ni kweli, ila tofauti na Wabongo, Wazenj hawapangi bei, wanaona aibu, na wanakubali kiasi chochote kama asante tuu, wakati Wabongo wanapanga bei na pesa mbele!, hivyo Wazenj kujikuta wanalipwa zaidi na kiukweli wanajituma ila ndio vile tena, chapa ng'ombe huwa hatushibi!.

Abdalah kichwa wazi hatosheki, anatoka kuzama akiibuka akiona sampuli nyingi analiamsha tena, na kusema kweli katuponza wengi sana huyu.
 
Back
Top Bottom