Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

Kwa hiyo wazinzabari ni watakatifu sana na wabara ni wadhambi sana 🤔

Mmh
 
Hivi yule polisi shoga alikuwa mzanzibar au mtanganyika, na wale mabinti waliokamatwa na mkuu wa mkoa hiko pemba walikuwa wanatoka Tanganyika.
Kwanini zanzibar wanaongoza kwa takwimu za kubaka na ulawiti?
 
Nimeipata vema hiyo fasihi 🤣🤣🤣nchi ngum hii!!
Kama unapenda kula vitu laini laini kama chapati maji, urojo, tende, halua wali nazi, Zanzibar, utafaidi, maana ni walaini kama maini!, lakini kama unapenda vyakula vigumu vigumu kama ugali, Zanzibar utaishia kulala njaa!.
P
 
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.

Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu wanaobainika kujihusisha na vitendo hivyo hukamatwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, amesema wengi wa waliokamatwa katika operesheni hizo ni vijana kutoka Tanzania Bara na wengine kutoka nchi jirani ya Kenya, na mara nyingi hufanyiwa utaratibu wa kuwarejesha katika maeneo au nchi zao wanakotoka.
========
"Mheshimiwa mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kumjibu swala maswala yake ya nyongeza yenye kifungu A na B Dr. Mohamed kama ifuatavyo. Mheshimiwa mkakati tunao na mkakati ambao tuliokuwa nao kwanza kufanya operesen katika hayo maeneo ambayo yanaviashiria vya hiyo biashara ya ukahaba.

Nadhani katika nyakati mbalimbali wa jeshi letu la polisi kwa kushirikiana na idara maalum huwa nafanya operes na huwa inawakamata na kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo mkakati ambao uliokuwepo mheshimiwa mwenyekiti ni kufanya operation za mara kwa mara katika maeneo hayo ambayo yanafanywa biashara hiyo au yanadhaniwa kufanya biashara ya ukahama

. Lakini mazingira hasa ya mavazi ndio yale mazingira ambayo yanayotufanya tunamtuhumu mtu alafu tunakuwa tunamchukulia zile hatua za kisheria. ...wengi ambao tuliokuwa tukiwakamata katika operes zile wengi ni vijana kutoka Tanzania bara na wengine hata Kenya... mara nyingi watu kama wale huwa tunawafanyia utaratibu wa kuwarejesha kule wanakotoka

View attachment 3605757
My take:

Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
Hivi wale wanaume mashoga waliojazana kwenye mahoteli ya Zanzibar nao wanatoka wapi na kile kiswahili Chao Cha kizanzabar Zanzibar tupu
 
Kweli kabisa ila wakaka poa wanatokea palepale kwao
 
Ukweli mtupu,wa bara wanakuja znz kujiuza Kwa wageni,wakitoka huko kwao wanásema wanakuja znz kufanya KAZI hotel, wamejazana ToT.
Sasa kwa mazingira ya Zanzibar ili kahaba akajiuze kwa foreigners inabidi aidha aombe kazi za chini hotelini kama za usafi, au ajilipue alipie chumba hapohapo hotelini hata cha 100K kwa siku...halafu wanashea gharama hiyo kahaba watatu,
 
Back
Top Bottom