NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Wapi niende nikanunue? Tunguu hapa watanga kibao ndo shughul yaoKweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweli
Wapi niende nikanunue? Tunguu hapa watanga kibao ndo shughul yaoKweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweli
Bot club kwa mchina mwanzo?Ukweli mtupu,wa bara wanakuja znz kujiuza Kwa wageni,wakitoka huko kwao wanásema wanakuja znz kufanya KAZI hotel, wamejazana ToT.
Legend!Zamani ni kweli, wadada wanaojiuza Zanzibar, walikuwa ni kutoka Bara, lakini siku hizi, hata Wazanzibari wenyewe wamo, mimi ni shuhuda, wanaondoka majumbani mwao na hijab, wakifika kazini, hijab zinavuliwa, ndani wanakuwa wamevaa mavazi ya kazini, baada ya kazi, wanavaa tena hij zao, wanarudi makwao!.
Kufuatia kushamiri kwa biashara ya utalii, huwezi kuizuia biashara hii hivyo ushauri huu uzingatiwe Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
Ndiyo,Kuna nyingine ipo mjini ya wabongo,Bot club kwa mchina mwanzo?
Unashindaje vita na anayetumia silaha yenye uwezo kunasa hata hao maaskari wa vyombo??Kama war on illegal drugs ilivyoshindwa, hili nalo litashindwa. Unless you bring the demand down to zero, huwezi kushinda hivi vita!
Alijua haya yote yet he sold tanganyika kwa hao wabaguzi?Ubaguzi mbaya sana
JK Nyerere: ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ukionja uwezi kuacha
Kifupi Zanzibar wanakoleza motoUbaguzi mbaya sana
JK Nyerere: ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ukionja uwezi kuacha
Vita kwa sasa vimefika uvunguni😂😂Hii vita ya muungano inazidi kuwa kubwa sasa.
Nyerere alikuwa na nia ya kuwafanya kuwa mkoa wa Tanganyika... ccm wakabuni chimbo lao la kupigia pesa!Alijua haya yote yet he sold tanganyika kwa hao wabaguzi?
Ali miscalculate outcome ya muungano
Kwa hizi chokochoko wanazoleta wazenji haifiki 2030 muungano utakuwa historiaVunjeni hii takataka yenu inayoitwa muungano ili Watanganyika tupumue.
Hapo sasa!!!Unashindaje vita na anayetumia silaha yenye uwezo kumnasa hata hao maaskari wa vyombo??
Bhebheshi ulijuaje kua wanajituma angu?Ni kweli, ila tofauti na Wabongo, Wazenj hawapangi bei, wanaona aibu, na wanakubali kiasi chochote kama asante tuu, wakati Wabongo wanapanga bei na pesa mbele!, hivyo Wazenj kujikuta wanalipwa zaidi na kiukweli wanajituma ila ndio vile tena, chapa ng'ombe huwa hatushibi!.
P
- Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Bhebheshi ulijuaje kua wanajituma angu?
Nimeipata vema hiyo fasihi 🤣🤣🤣nchi ngum hii!!